Waoh ...we have alot of lesson to learn from this. WOMEN:we should learn to be patient and not to be a nugging woman.patient pays and who laugh last laughs the best.SALAMAis a role model indeed TO MEN:This goes to you,you move around with sidechicks,disrespecting their wives but at the end they go to their wives at a point of death .so shameful
Thanks Ankojay beautiful story Hivi Mtu anaposema naomba turudiane kama Zamani. Kama mwanzoni haikuwa kama zamani sasa leo kipi kinaweza kuwa kama zamani Watu wana mizaha jamani!!!!
Thank you Anko Jay ❤ yani sauti yako yanimaliza MUNGU kakubariki na sauti zururi kweli yani ukiongeya nasikiya roho inadunda kwa furaha tele na hizo simulizi wacha tu zanimaliza kabisa ❤😂
Anko J napenda sana kukuambia kwamba, una karama na kipawa katika tasnia ya simulizi hada katika usimuliaji. Nashindwa kabisa kuacha kusikiliza stori zako, najaribu kila siku lkn naishia kusikiliza stori. Brother you're talented this talent, so use it to teach us Big up