Тёмный

Isha Mashauzi - Sudi Sudini (Official Video) 

Isha Mashauzi
Подписаться 107 тыс.
Просмотров 1,1 млн
50% 1

#IshaMashauzi #SudiSudini #SlideDigital
SUBSCRIBE TO OUR CHANNEL
/ @ishamashauzi
Listen & Download Music Worldwide
ffm.to/mashauzi
Follow:
/ ishamashauzioriginal
Channel Administered by Slide Digital
/ ishamashauzioriginal

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 415   
@rithadanda9023
@rithadanda9023 5 лет назад
Kama unaipendahiinyimbo kamamimi gonga like hapa 😍😍😍😍😍
@saumuabdi5954
@saumuabdi5954 5 лет назад
Napenda
@princessthuma7051
@princessthuma7051 5 лет назад
Pambeee
@ramatengema3557
@ramatengema3557 5 лет назад
Pambe tyuuu bg up
@mohammedngokolo6705
@mohammedngokolo6705 5 лет назад
Asante isha video konk
@happynessalfred6285
@happynessalfred6285 5 лет назад
Iko pos
@dannydon8639
@dannydon8639 5 лет назад
Wakurya wenzangu twende sawa au 😅😅😅😅 hamjui kulike 😁😁😁 😁
@mboweirene9670
@mboweirene9670 4 года назад
🤔😂😂
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 5 лет назад
Timu ishaaa mashauzi TWENDEEEEEE
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 года назад
timu pana sana
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 года назад
Teyinaaaaa
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 года назад
tupo hewaniii 🙏🏾♥️🥰
@bahataman3379
@bahataman3379 4 года назад
Zephania Mayeye hizo nyimbo zote zilinifulahisha sana
@falistarndomba9336
@falistarndomba9336 4 года назад
Nakupenda sana Pacha wangu
@sashababy1321
@sashababy1321 5 лет назад
Watu oyoooo gonga like km unaikubari ....nipe mamy isha kipenzi
@sashababy1321
@sashababy1321 5 лет назад
😂😂nawaona vijuso. ....mambo🔥🔥🔥🔥
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 года назад
naikubali bila pingamizi..
@ridgeglorialukusa3597
@ridgeglorialukusa3597 4 года назад
Tume kupenda sana Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🧚🏽‍♂️🧚🏽‍♂️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zainabzz7241
@zainabzz7241 3 года назад
Kelele ya kwanza kwa isha wake woyoooooh 😘😘💃jike la simba wawaaaaaaaaaaaaa
@omanoman4182
@omanoman4182 5 лет назад
Asanteeeee mamaaa LA mamaaaaa nakupenda ishaaaa😘😘😘😘😘😘😘
@aishambwana6886
@aishambwana6886 3 года назад
Nakukubali wajina
@mashamwaki6384
@mashamwaki6384 5 лет назад
Shikamoo isha hapana chezeaa mamaa kubwaaa😂
@FawziyaMarangu
@FawziyaMarangu 4 месяца назад
Asantaaaaaa❤❤❤❤❤
@wardakasala8956
@wardakasala8956 5 лет назад
Pambeeeeeeeeeee kama umeona kiuno chakunanazi kama mimi gonga like hapa
@michaelotienookumu7367
@michaelotienookumu7367 2 года назад
Hito sauti ya "kuna nazi...." kweli huu ni ujuzi!! Kazi njema Isha...
@ggghhh2004
@ggghhh2004 5 лет назад
Tunakupenda Burundi 🇧🇮😋😋
@neemankana3070
@neemankana3070 5 лет назад
Nice mama LA mamaaa
@faudhiaally3669
@faudhiaally3669 4 года назад
Kwa kweli ht ukiwa mwelevu hawatokugeuza ng'ombe hpn chezeaa
@zenamohamedi900
@zenamohamedi900 5 лет назад
Na kukubalii👌dada una shoo mbovu ujawai kuyumba apo sasa kwenye kukuna nazi kama ujui kamuulize somo yako ataliii
@magrethsheki2796
@magrethsheki2796 3 года назад
Dada ake mimi
@salmaothuman4799
@salmaothuman4799 5 лет назад
Baada ya mzee yusuf unaefuata ww ✌mkurya wa kwanza kuimba taraabu 😀😀😀
@raheemalewa9219
@raheemalewa9219 5 лет назад
Hafiki kopa hata akaruka
@asiajuma673
@asiajuma673 5 лет назад
Kabisa yaani huyu isha penda sana💋❤
@dannydon8639
@dannydon8639 5 лет назад
😅😅😅😅 wakurya wenzangu twende sawa au wakurya hatujui kulike 😁😁
@freddyfredricks3435
@freddyfredricks3435 3 года назад
Hata wewe mwenyewe ndani ya nafsi yako wajua umedanganya😃😃. Hamfikii Khadija Kopa hata kwa nusu!! Wewe sema tu wewe Ni strong fan wa Isha. Nampenda Isha sana ila najua hamfikii Kopa! Labda kwa ndoto tu. Kopa ni jina kubwa Sana kwa taarab. Nenda hata kwa wabara wa Kenya,Uganda, na Tz
@waynecamejo889
@waynecamejo889 3 года назад
Yaani huyu hamuoni Bi Kopa, Sabah muchacho na khdija Yusuf. Unajidanganya
@maryamshabani6024
@maryamshabani6024 5 лет назад
Umeutendea haki wimbo video Kali na nyimbo Kali atal💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@samialalionne2603
@samialalionne2603 5 лет назад
Isha isha wang nakupenda saaana bip up saana mama chr karibu burundi ,,❤❤❤❤❤
@shadrackkhamis7439
@shadrackkhamis7439 3 года назад
Kwann waimba taran mbakuwa na miziwa Ivo ila unaimba vzuri sana I like it
@shemsasaid7869
@shemsasaid7869 2 года назад
Ndomana tunakupenda wazanzibari
@mwadawaibrahimmohamed6089
@mwadawaibrahimmohamed6089 4 месяца назад
Sana Isha tupo nyuma yako inua taarabu binti yetu tulkuwa tumekosa raha❤
@selemaniomartwaha5416
@selemaniomartwaha5416 4 года назад
Mnyonge mnyongeni hakiake mpeni sahangazi unatisha
@SalomeNgala
@SalomeNgala 5 месяцев назад
Mungu amzidishie aisha yuko powa nyimbo zote congole mama
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 года назад
Daaaaa!!!!jimbo tamu balaaaaa jamani
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 лет назад
Ila isha umezid kunenepa banah eeh
@halimasahani5562
@halimasahani5562 5 лет назад
Isha kwa kuvaa tu kiboko fundi wako anakuptia htr
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Japo siyo mpenzi wa haya mambo ya dunia lak8n hii imenikamata asante aisha mashauz kwa kaz nziri san
@jescamhagama3393
@jescamhagama3393 3 года назад
unajua dada
@livingstonemusungumuyunji7309
@livingstonemusungumuyunji7309 2 года назад
Wow hii juu wallai mashauzi
@SaeedSaidi-y2m
@SaeedSaidi-y2m 3 месяца назад
Wew aunanupizani mam ramam kuwa jikera.simba rotam kunanazi nibesti fomim na tatizi ukinupa tatizi nitatiz sauzi🇿🇦
@bimkubwasaid4673
@bimkubwasaid4673 3 года назад
Nakbli kaz Isha✌✌
@melchizedekoumamakora6271
@melchizedekoumamakora6271 5 лет назад
Kukuna nazi yaitaji ujuzi. Miye hapa nakuna nazi.
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
Km ww ni fans wa Isha Mashauz na km ulikua ukisubiria video tujuane kwa like ♥♥🔥
@zariaswalehe8933
@zariaswalehe8933 5 лет назад
Msg sent mom
@fadhilachilyenga5242
@fadhilachilyenga5242 5 лет назад
Mussa khassan wewe kama mimi
@خسنموس
@خسنموس 5 лет назад
@@fadhilachilyenga5242 safi
@ashalubeya6509
@ashalubeya6509 5 лет назад
Wallah siichoki mie
@leilaselemani156
@leilaselemani156 4 года назад
Uko vizuri mdogo wangu isha
@rehemarehema4798
@rehemarehema4798 3 года назад
Kabisa ujakosea mamy
@annamaokola807
@annamaokola807 5 лет назад
Kweli Kila mmoja na bahati yake lala mlango wazi uliwe na Simba hahaaaaaaa,,,,Kila siku maneno watajijua bora kuwapotezea...love Isha😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 5 лет назад
ANNA MAOKOLA 😸😸😸😸👍
@lehilasalehe2342
@lehilasalehe2342 5 лет назад
Kiramja anabahat yke kazikwenu walala milango nje
@kamkamandallaz7793
@kamkamandallaz7793 4 года назад
Ndio sanaa halsi
@jacksonmhonie3862
@jacksonmhonie3862 2 месяца назад
You are my best artist keep it up the 🔥 is burning ❤
@floridaally3095
@floridaally3095 5 лет назад
Hujawai tuangusha mashabik zako nakupenda sana we mwanamke
@SharifaLibisa
@SharifaLibisa 5 дней назад
❤❤penda sana huyu dada
@abopicsissa2774
@abopicsissa2774 4 года назад
Miye hoyiiiiiiii kwako isha mama
@tinalmethod9911
@tinalmethod9911 3 года назад
Safiiiiiii
@nikolausmalezi839
@nikolausmalezi839 3 года назад
Yaani mi nimejikuta tu nakupenda bure bonge la ngoma, taraabu ilotulia imebeba jumbe ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🖐️🖐️🖐️
@rehemadonald2592
@rehemadonald2592 2 года назад
Unajua San dada
@hosnaali6165
@hosnaali6165 5 лет назад
asantaa 😍😍hilo limewafikia wakanisema kwa ubya ..kama imeandikwa itakua
@DamarisiJohn
@DamarisiJohn Месяц назад
Nakukubali mama la wamama
@mwanamisibalozi3147
@mwanamisibalozi3147 2 года назад
Tunakupenda sana Kenya😍🇰🇪
@zainahali1274
@zainahali1274 5 лет назад
I am here for you Mama 😍😍😋😋😘😘😘😘..kazi safi Sana 💋❤💖💕..Endelea kutupa taarabu nzuri kabisa
@huaweiphone9120
@huaweiphone9120 4 года назад
I love you songs
@asinathmuhidini4046
@asinathmuhidini4046 3 года назад
Ilove you isha yani wewe fani yako talaabu na nyimbo zingine. Tupege laaa uzidi kutukomesha mashabiki zako mwaaaaaa
@abdaalamwimbe6938
@abdaalamwimbe6938 3 года назад
Nakukubaxana mamy
@abdallahmwinyi2106
@abdallahmwinyi2106 2 года назад
isha upo juu utabaki juu inshallah mungu azidi kukubariki
@allymindad1839
@allymindad1839 4 года назад
Isha noma nakupendaje
@mwanisaidi4761
@mwanisaidi4761 5 лет назад
Kusikiliza na kusoma like kunanoga zaidi
@FatumaMhina-vu1ux
@FatumaMhina-vu1ux Год назад
Respect sana kwak
@fatumaababy1281
@fatumaababy1281 5 лет назад
Wale wa free WiFi tujuane +974 song kali💣🔥
@bosslady8152
@bosslady8152 5 лет назад
+974😘😘😘😍
@jacobodongo3917
@jacobodongo3917 5 лет назад
+974 🔥🔥🔥
@user-zj3ke9gc2u
@user-zj3ke9gc2u 5 лет назад
😚😚😚😚
@dottnatt7110
@dottnatt7110 5 лет назад
974😍😍
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 года назад
+34 free WiFi mda wote
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 месяца назад
Da isha mawigi yako pambe😅
@raudhaally2863
@raudhaally2863 5 лет назад
Yn hio location nzr jumba limepambika mashallah jamnii nimelipenda very amaizing na nyimbo ashhh hooooot
@noelaligwa5060
@noelaligwa5060 2 года назад
Jamani isha nakupa zote asilimia
@monnymadame3719
@monnymadame3719 5 лет назад
Unajitahidi kucheza maa mashallah
@modesthywilliam3482
@modesthywilliam3482 5 лет назад
isha Mashauzi Unapendwa n mama Nillan 💕💖
@maisarangade7743
@maisarangade7743 4 года назад
Weweeeeeee Tena na nusu my hapana chezea kuria
@josephchawa2243
@josephchawa2243 5 лет назад
mashaallah nyimbo nzuri na muimbaji yuko pouwaaa😚😚😚😚
@mpechifamily5111
@mpechifamily5111 5 лет назад
kwanza umedamshi halafu hiyo video iko poa kabisa ukoseage my ongera kwa hilo
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 года назад
one love nimeipenda sana hii imeweza mno tu murwa sana hio video iko clear sana kazi pana
@lonnmutta2073
@lonnmutta2073 4 года назад
much love and adoration sister you are a great star salute..
@MeswalehShaban-mg5kk
@MeswalehShaban-mg5kk Год назад
Pambe hii nyimbo naipend mpk bc ...congratulations wallah all team ❤❤❤❤❤
@hamidamahmoud9511
@hamidamahmoud9511 5 лет назад
Bado naisubiri nitakonda isha big up sana wewe ndo msanii nikupendae tz na nandy
@twahaanyoni9368
@twahaanyoni9368 4 года назад
Uyuu dada huaga namuhelewa wallah videos Kali sana himeweza good momy
@billywilz8753
@billywilz8753 4 месяца назад
Umeniweza....kwisha mie
@alimashabani2252
@alimashabani2252 3 года назад
Hamu aishi dada kusikiya nyimbozako wekibokoyaoo Aisha akuna zaidiyako
@ibrasubaru8930
@ibrasubaru8930 4 года назад
Hahahh kweli sudi sudini momy
@HappynessMathayo-g7n
@HappynessMathayo-g7n 8 месяцев назад
Dada Aisha hii noma nyimbo zako zote napenda mama tupe taarabu
@annamihayo142
@annamihayo142 8 месяцев назад
Safi sana riziki ya mwenzio usiilalie mlango wazi😃😃😃mwaaa,mwaaaaaa, isha❤️❤️
@yusuphkaoneka3664
@yusuphkaoneka3664 5 лет назад
Nilikua nasubilito hii video hongera kwa kazi nzuri
@alecynakaonga7920
@alecynakaonga7920 7 месяцев назад
Simba🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@FatumaHamisi-sr6yj
@FatumaHamisi-sr6yj 7 месяцев назад
Naipenda hii tarabu mie 🥳🥳🥳🥳😍😍😍😍
@EfrosinaChinguwile-i9t
@EfrosinaChinguwile-i9t Месяц назад
Nakuelewa mdada
@ashuraussein7582
@ashuraussein7582 5 лет назад
Sijajutiaga kukupenda mama❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@rammykhan5598
@rammykhan5598 3 года назад
Hata ukiwa mwelevu wao watakugezua ngombe👌👌👌 😀😀😀
@AdelinaBruno-vx5qr
@AdelinaBruno-vx5qr Год назад
Umenikoshaje jmn nakupenda biree❤❤❤❤isha joke shupavu
@zakibingolden6717
@zakibingolden6717 3 года назад
Taraab buana ina ni banba from somali ofgoye
@Officialconi20
@Officialconi20 7 месяцев назад
Mie saut ina nimaliza ❤❤
@salhakambangwa2495
@salhakambangwa2495 4 года назад
pambee upon juu
@faridaiddi104
@faridaiddi104 5 лет назад
Kilaktu Mimi hahaha nipo bz natfta
@jacklinerichard4155
@jacklinerichard4155 4 года назад
Unaimbaa dada
@princessmamitho5717
@princessmamitho5717 5 лет назад
MUSOMA hoyeeeee😍😍😍
@zawadihamisi9585
@zawadihamisi9585 4 года назад
Penda ww SANA isha
@alimashabani2252
@alimashabani2252 3 года назад
Icookiranga asati isha wazaidiyako sioni
@CharlesAmonmakelele-uw3jh
@CharlesAmonmakelele-uw3jh Год назад
Niliyajua hayo mapema ndoo maana nikapuuzia dah!
@qunwenishamsa8617
@qunwenishamsa8617 5 лет назад
Asanteee my lv mambo ni 👌
@namanazuberi4542
@namanazuberi4542 4 года назад
Nimeipendaaa duuuu saaana kuchukia wenzake bila sababuuu duuu
@suleimanali5677
@suleimanali5677 2 года назад
Ivi isha unajua kama tarabu unaijua 🙌🏽
@alicejoseph6579
@alicejoseph6579 3 года назад
Naenjoy Sana na isha mashàuz "kilà kitu mm na mbaya wako mm jmn"
@jerinanguto3723
@jerinanguto3723 2 года назад
Masharrrhau-isha
@bahatirachel2145
@bahatirachel2145 Год назад
Atakama Naishi marekani na penda nyimbo sana my sister ❤
@aniphakitopeni8082
@aniphakitopeni8082 Год назад
Nakupenda san isha huna Kaz mbovu
@aminashq1181
@aminashq1181 5 лет назад
Nakupenda Isha mashauzi💖💖💖
@paiveedithy6868
@paiveedithy6868 11 месяцев назад
2023 ❤❤❤❤
@halimamiraji4013
@halimamiraji4013 5 лет назад
Yani mwanzo mwisho umedamshii mashallah mungu akulinde na mahasid
@salamamohammed5446
@salamamohammed5446 4 года назад
Umeon ee my mamb n mot
@susymondmusungu2641
@susymondmusungu2641 2 года назад
Ama kweli utamu ulioje,shukrani
@mussahamissi4135
@mussahamissi4135 4 года назад
Heti unani juakiundani kweli kipande pambe ikii🤣🤣🤣🤣🤣
@jumaally3348
@jumaally3348 5 лет назад
Taarabuu kali mno kukupenda2😘😘😘😘
@jasmineeomary2041
@jasmineeomary2041 2 месяца назад
Niko hapa 2024🎉
@LameckMatinde
@LameckMatinde Месяц назад
Tuko pamoja wakulya na bado ndio kwanza gari linaanza kuwaka
Далее
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Tugawane Ustaarabu
16:19
Просмотров 230 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Isha Mashauzi - Thamani Ya Mama
10:03
Просмотров 801 тыс.
Hanifa jikelachui - Ishu pambe
10:18
Просмотров 226 тыс.
Niacheni Nijivune
14:34
Просмотров 336 тыс.
Mtaniona Hivi Hivi
12:33
Просмотров 46 тыс.
ISHA MASHAUZI - SIBURE UNA MAPUNGUFU . CLEAN VERSION
20:53
Sura Surambi
13:13
Просмотров 114 тыс.