Ningelikuwaje mimi kama sio damu ya yesu, mimi nilinikuwa msherati na kutoa mimba 😭😭😭😭😭😭 lakini Mungu akamtoa mwanawe wa kipekee amwage damu yake kwa akili yangu, hakika Mungu ni mwema🙏
Lord forgive me,surely if there is a sinner it is me I committed all form sin and Lord stil give me a chance again.what love,this time change me completely I'm tire of sin Lord.
Isingelikuwa hakika damu ya Yesu nisingelikuwa hai kweli. Ibaada ya kweli kwa wasaa huu 😭😭😭😭. Tafadhali wekeni ibaada nzima sababu yainua mioyo yetu kwa jina la Yesu Kristo🙏🙏