JUMA DUNI ANAJITAMBUA MZANZIBARI NA ZANZIBAR Msimamo wa Uzanzibari wa Juma Duni uko kwenye kitabu chake kupinga Sera ya Ubaguzi wa Chama Cha Mapinduzi. Ni mbaya kuliko Ubaguzi (Apartheid) wa Makaburu wa Afrika ya Kusini. Kitabu chake kinaitwa: UAFRIKA AU UZANZIBARI Sera ya Ubaguzi ni Siasa ya UDHALIM wa Zanzibar aliuita ZAPARTHEID.