I do not care what supreme court will say, what I know is that Uhuru Kneyarra will give Raila precidency whether dekni or tetni. He won and that is it. Hii ingine ni gimmic ya kuona kama sheria works.
Ruto is the 5th noone Will take his Seat by Force those people of azimio Will be the one taken to criminal court this time the World is watching closely
This is the prophecy from a layman just before the handshake: " Uhuru Kenyatta shall hand over the presidency to Raila Amollo Odinga come August 2022."
Hehe kumekucha aamka uko kwenye ndoto buda..kama wanajiamini kwa court wangetulia tu vile kama ruto na kuacha mikutano na kampeni zengine za kuchochea fujo na kashfa
@@b.truthful sijasema wao wanafanya fujo..nimesema mambo kama haya ndio yenye kuanzisha fujo..ikiwa ushapeana ushahidi kwa court mikutano ya kashfa za kuibiwa kwanini ziweko?..wale wanaofikiria elfu6 walioahidiwa huoni kama wataanza fujo zao kwa mabarabara tena..wapeane court nafasi..kelele za kuibiwa ndio nyimbo yake baba kila wakati wa kura..
@@b.truthful kisha umeona furaha ya kuimba tumeibiwa?alioibiwa anaimba furaha?..ama nyuma ya hiyo furaha ni hasira ndio wanaongelea kuibiwa kila siku..hehe anyway wacha watajionea matokeo ya court..kenya ni ile ile tu ambayo amelilia kuibiwa miaka za nyuma na wenye ambao amelilia ni wale wale.
Kichwa chako kinafanya kazi kweli UDA ni Uganda kalale Raila hawezi pata Haki ya kukalia kiti bt atapata Haki pengine Kura zirudiwe bt kiti ya Prezzo sahau
mbona musitumie pia ama hamukosoma ruto hatengenezi computer murikua na rais na serikari vifaranga waripita wapi this game needs big boys munachosha baba next time tutamtafutia wanaume wakumsimamia siasa sio kanisa urizene Babu owino atawachanua
The Reality and the Fact is,God has already chosen His Excellency William Samoei Kipchirchir Ruto as the 5th president..you will never undo what God has done.. Praise be to our Heavenly Father Yahweh🙂
Sisi tunaendeleaje kusubiri siku kumi na nne zipite kwa mujibu wa katiba tu. Maana uhakika ni kwamba Baba ataapishwa kibabe liwalo na liwe. Mmezoea kumuonea sana mzee wa watu nyie.
The is difference between Love ❤️ and sycophancy. There is a big difference when one is bought to drive an agenda and one who is willing to drive an agenda Baba is Real
These fellows are still dreaming you think uhunye is here to give you everything free 🤣🤣🤣🤣 bro wake up the presidency went to sugoi while you were waiting for manner from uhunye , this is seriours business you have to sweat your ass up to get it sio mambo ya kitendawili hapa, wait till 2027 you try your luck as usual were used to you and trying your luck when it comes to election.
Mimi ni Azimio damu...lakini..mbona mnapenda kujipigia kifua...saidie Raila na mawaidha..wacheni kupiga kifua.huko mr sugoi ako kwa ground...anawacheza...you better be serious and focus ahead.
Muaje kujipea moyo, unless you are in a dream land i wish supreme iamue rerun tuwaonyeshe tena, round hii tutawanyorosha na more than 1.5milion. His excellency the doyen William samoe arap ruto is a wave and is a political wizard just ignore him on your own risk 😂😂