I loved jalas since I was in high school that time he was in national theater I took a photo with him he is such a humble man, even when he was in kiss 100 my whole family loved the show he is so real
Aleky we pia kaa kuelewa hizi ni stori tu zakufurahisha waskilizajitu acha mafeelings kwa vitu hazina maana nkt kaa Kama heavy j Baba dats y we love jalas more ile cku atahama ni ivo
Jalas Alex anatuenjoy. Kwanzia class 7 hapo adole ilikuwa moto sana! And ukweli ukisema kuprotect mrembo ilikuwa lazima kama kushare vitabu, stationaries na hata doh ya breaktime na lunch. kuenda home pamoja ilikuwa lazima!
Ni kweli kabisa miaka 60's 70's 80's 90s watoto wengi sana walisoma wakiwa wakubwa sana juu nakumbuka head boy wetu wa shule ya msingi halikuwa mpaka hanyoe kidevu ndio haja shuleni kila siku mdogo wake head girl hali kuwa na mtoto mdogo nyumbani eeeeh!!!!!!!! Aiseiyii!!!!!!! Hiyo miaka watoto walikuwa watiifu sana tofauti na wa sasa hivi na haku kuwa na mimba za mapema shuleni kama hilivyo sasa hivi mashuleni.
Jalas tafadhali my Brother tafuta job better ni ngumu but ukipata jiondokee....Unajifungia talent you are driving the train that's not moving,find another rail your fans we are behind you!much love
Katiba yangu ya kwanza,right after high school. Mtoto flani anaitwa Priscah Adhiambo,nyar Casenti,Rangala Girls,I miss her ile mbaya to date,naskia aliolewa,na mtoto mmoja,na bado sijaoa mimi.
Juzi pia nlikutana na rafkii yangu ako stressed na bwanaa kee amoendaa bb sawaa lakini bakhili bwana ajabuu sikizeni hyo life last month tuu ss bwana kabila hndiye muhindii kiswahili shidaa Kwanzaa hajuii bb alia atoa story yy yupoo pale pale na bb. Namm tukiwa tuskieys MLD sawaa mm nasema dadangu mbebe hyo bwana badae nikawa market nachukua vituu mm NA hyo Dada pia