Wimbo mzuri Sana Dada angu,Ila pole kwa maumivu ya kuwekwa daladala,kakutumia,kakuzalisha afu kaoa mwanamke mwingine pole Sana,usikatee tamaa songa mbele yupo alieandaliwa kwa ajili yako,afu mtumikie mungu tuko p1 na ww,mungu azd kukuinua Katka huduma yako.
wimbo mzuri,lakini kama ili vunja likodi nakwaya iliyo kulea sio vizuri kuimba nyimbo zako uki iga rhythm yawo ao mdundo wao tafuta wakwako.ni ushauli tu kama muimbaji mwenzako
Wimbo mzuri sana songa mbele dada mungu akutangulie katika uimbaji wako kiukweli ujumbe umetufikia tumebarikiwa sana naitwa mchungaji devidi mbaga kaibu sana Arusha shamsi sda
Jamani dunia nzima mahakamani sasa, kwa kila mmoja wetu anahusikaa, na kwa namna hiyo tufanye ni toba watu wa Mungu. Huu sio wakati wa kucheza cheza katika dhambi....😅
Jamila umekua sana kimuziki ukiwa SOLO! Nakuona ukijenga uwezo mkubwa zaidi. Najifunza kuwa kuna wakati ni muhimu mwanamuziki aende SOLO ili aoneshe uwezo wake fully. Nyimbo zako zinatubariki sana!
Nimeamua Kuingia RU-vid nikaweze kusikiza nyimbo zakoo zotee Ujumbe upo sawa na ufikie wahusikaa na kila mmoja #MunguYupoNaJamilaAtaendaMbali Kama unaamini weka like
I'm so blessed from Kenya ,,,,mungu azidi kubariki kipaji chako,,nyimbo zako zibariki na kuinua watu wote waliokosa tumaini,,natamani sana niwe dancer wako nitokee kwa video zako😊😊
It's a master piece dear friend. Well arranged, beautifully sung. God bless you. I have played it more than 10x and still want to listen to more of it.