HABARI!
Naitwa Jay Dollar na napatikana MALAWI/LILONGWE.
Nakuja na kazi yangu inayobeba jina la MKATABA ambayo inalengo lakuimiza watu na wasanii wenzangu kuamini katika vipaji vyao. Kutafuta riski sio vibaya ila je unaitafutia kwenye njia gani?
NYEUSI au NYEUPE.
sikiliza ngoma kwa umakini ili ufaidi ujumbe uliopo kwenye ngoma.
SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT, SHARE.
ALL BOOKINGS: mfastotheking3@gmail.com
19 сен 2024