Daaaaah Aiseee umenikosha saaana mwamba!!! Nilikua naimis sana miziki ya kusikiliza yaani kwa sasa baada ya MAVOKO ntakua nakusikiliza ww bonge la ngoma
Yaani mm napenda kazi zake jamniii kisha mzuriii kama tendeeee kwakweli kama unasoma comment jay ur more dan handsme wallahi kisha huna makuu..dada angu na mie hoi huku
Ngumu kumeza sio mboga sabani!! Dah! Huyu dogo anajua sana misemo ya kiswahili anaficha sana maneno alafu ya maana sio matusi, ngumu kumeza ina maana nyingi moja wapo ni uvumilivu na uaminifu mboga sabini ni asie muaminifu na lopolopo kidogo tu unakinbilia kutangaza mitandaoni, hiyo tosha kwa asie na kaba ajifunze, big up kijana unaimba kama hautaki vile hujikamui hukunji uso sauti inatoka tu hicho ni kilaji, angalizo epuka sana sana scandals na hata zikitokea usijibu kuwa tofauti kimya ni jibu la mjinga.
KATIKA HUU WIMBO NAPENDA HIKI KIPANDE, NAKIRUDIA MARA KUMIKUMI... ...Wajinga hawataki ibaki kismati mi nipate rahaaaaa,....wanaandaa kamatiii minuno ya kilasaa/ Zengwe mpaka basi eti kisa washua fujo kilasaàaa,simu zao za simatiii mapicha ya kilasaa/....