Тёмный

JE! DAWA GANI ZINAFAA KWA KILIMO CHA NYANYA WAKATI WA MASIKA? 

MINJA KILIMO
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 3,6 тыс.
50% 1

DAWA HIZI SI ZA KUKOSA KWA KILIMO CHA NYANYA WAKATI WA MASIKA

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@agapithokibiki8856
@agapithokibiki8856 6 месяцев назад
Ahsante Kwa somo zuri, nimeanza kukufatilia sana natamani kujikita nami nipate mafanikio kupitia zao la nyanya
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 6 месяцев назад
Ukizingatia ukafanya kwa WELEDI hakika utafanikiwa sana ktk zao la nyanya endelea kunifatilia
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi 5 месяцев назад
❤❤❤❤nimekuelew
@UWIMANAFabiola-r7z
@UWIMANAFabiola-r7z Месяц назад
Nilichelewa kujua hii channel kuna mda nalia nimepoteza hela nyingi kwenye kilimo cha nyanya bika kupata faida ila Ahsante sana nimejifunza vingi mno from Burundi
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 Месяц назад
@@UWIMANAFabiola-r7z karibu sana soon tutakua na online course kuhusu kilimo cha nyanya kwahiyo endelea kutufatilia mazuri zaidi yanakuja tunatamani kuwasaidia wakulima wenzetu waepukane na hasara
@user-tf5ec2hi3k
@user-tf5ec2hi3k 6 месяцев назад
Nimejifunza sana namna ya matumizi ya dawa za nyanya
@hamadimziraymziray-ry4vi
@hamadimziraymziray-ry4vi 6 месяцев назад
Tumekuelewa San brooo VP kuhusu mbolea ya supagrow
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 6 месяцев назад
Sina uzoefu na supergro
@DanielNyamhanga
@DanielNyamhanga 5 месяцев назад
Ubalikiwe muezeshaji wa ninja kilimo kuna kitu umenisaidia
@shafiseleman5973
@shafiseleman5973 7 месяцев назад
Pamoja
@DaudiYohana-cv2tp
@DaudiYohana-cv2tp 5 месяцев назад
Je unawezaje kuzichanganya hizo dawa by samweli Matiko Serengeti mara
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 5 месяцев назад
Dawa nyingi zinachanganyika bila shida kabisa kwahiyo unaweza kuchanganya sumu ya wadudu, ukungu na busta kwa wakati mmoja
@adammaziku6521
@adammaziku6521 5 месяцев назад
Je naweza kuchanganya dawa za ukungu na sumu pamoja
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 5 месяцев назад
Ndiyo unachanganya, dawa nyingi zinachanganyika lakini ni vyema ukawa na utaratibu wa kusoma MAELEZO kwa kila dawa kabla ya kuchanganya
@user-tf5ec2hi3k
@user-tf5ec2hi3k 6 месяцев назад
Samahani hiyo niaina gani ya nyanya
@ZefaniaCharles
@ZefaniaCharles 7 месяцев назад
Tuko pamoja nanyi nafatilia vizuri sana Mafuzo yenu
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Tunafurahi kusikia hivyo
@djyounggtz3039
@djyounggtz3039 7 месяцев назад
Habar yako kaka nyanya miche 3000 unaweza ukatumia garama ya shingapi?
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Si chini ya milioni 1.5
@Mwanaumewashoka
@Mwanaumewashoka 7 месяцев назад
Leo nimechelewa kuingia Darasani.
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Pole
@AhishakiyeJeanmarie-w7c
@AhishakiyeJeanmarie-w7c 7 месяцев назад
Shukulani sana
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Karibu sana
@MawazoOmary
@MawazoOmary 5 месяцев назад
Mnapatikana wap na tunawapataje
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 5 месяцев назад
Tupo dodoma ila hatufanyi biashara ya madawa
@Mwanaumewashoka
@Mwanaumewashoka 7 месяцев назад
Watanzania video za msingi kama hizi hawaangalii ila wanapenda vitu vya kijinga jinga msanii gani sijui anatoka na nani.
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 7 месяцев назад
Ndo ilivyo vya maana vinaenda kwa wachache
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 6 месяцев назад
Umeona
@user-tf5ec2hi3k
@user-tf5ec2hi3k 6 месяцев назад
Samahani hiyo niaina gani ya nyanya
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 6 месяцев назад
Assila kaka
@user-tf5ec2hi3k
@user-tf5ec2hi3k 6 месяцев назад
Samahani hiyo niaina gani ya nyanya
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 6 месяцев назад
Assila
Далее
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 4,1 млн
Семья с двойным дном. Рассказ
2:45:06
MAKOSA 6 YA KUEPUKA KATIKA KILIMO CHA NYANYA.
34:20
Просмотров 2 тыс.
JE! NITUMIE SUMU GANI KWENYE KITALU CHA NYANYA?
13:13
Просмотров 1,1 тыс.