Тёмный

JE NI KWELI ABUU LAHABI ANAPUNGUZIWA ADHABU KWA AJILI YA KUZALIWA MTUME||SHAIKH QASSIM MAFUTA 

NURU YA SUNNAH
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 378
50% 1

Maelezo ya Shaikh QASSIM MAFUTA Kuhusu uongo wa Baadhi ya masheikh wa kisufi katika vitabu vyao juu ya kunukuu hadithi za uongo zinazo onesha kua Ammi yake Mtume (rehma na amani ziwe juu yake), kua Anapata tahfifu ya kupunguziwa Adhabu kila jumatatu
tuhma hizi zinadai kua hadithi hiyo ipo KATIKAkitabu kimojawapo Bukhari au Muslim, jambo ambalo ni uongo na wala hamna ukweli katika hilo.
usiache kufatilia mfululizo wa mafundisho yetu kwa kubonyeza Alama ya SUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kupata video zetu mpya
Allah AWABARIK
‪@Nuru_ya_sunnah.official‬

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@Abdallahsufiaan
@Abdallahsufiaan Месяц назад
huu ni uongo wa wazi wa masufi wanajitengenezea maneno bila dalili
@MwakibwanaallyHamza
@MwakibwanaallyHamza Месяц назад
Sheikh mafuta ni chafu ktk elimu tukufu tumuulizeni maswali magumu kuelewa kiibada lkn Ngoma na kucheza hakuna asiyejua kuwa ni haramu kwa watakao pepo lkn
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
Naomba sheikh wetu tubainishie aloyasema kijana wa Bachu ni kweli kwamba wawatoa watu katika manhaji pasi na haqqi? Kama si kweli basi twaomba umjibu kwa dalili kama alivyotaja maana ukikaa kimya na kusema wengine wapuuzwa kwa kutojibiwa watuacha njia panda kana kwamba huna hoja maana kuna wapuuzi zaidi ya huyo kijana unawajibu.
@wardat_kessy
@wardat_kessy Месяц назад
ni kweli hana hoja ndio maana hajajibu hoja ni mtupu katika elimu na hawezi jibu hoja yoyote
@wardat_kessy
@wardat_kessy Месяц назад
kwanza shehe muhammed bachu yupo sahihii kuliko kasim mafuta
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
@@wardat_kessy hapana ndugu hao watu wote ni wa sunna wanafaida kubwa sana Wallah na wote huwa nafaidikanao natamani2 waondoe tofauti zao
@jmbwambojr-zj2gq
@jmbwambojr-zj2gq Месяц назад
kasimu mafuta ni mtu wa jazba tuu, kazi kiwatoa watu katika uislam
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.