I know Im randomly asking but does any of you know of a trick to log back into an instagram account..? I somehow forgot the login password. I appreciate any tricks you can offer me!
mashaAllah watabarakallah walinganieni vijana simakosa yao,Sheikh masawe usirudi nyuma wabebe vijana hao hiyo maskani iwe ya mashekhe kabla mwezi mtukufu wa RAMADHAN wabillah taufiq.
Masha Allah , kazi nzito sana mlio kuwa nayoo .In sha Allah mwenyezi mungu awapeni subra naa hekma katika kuwaelimisha hao . sana sana ningependa mkaweka uzito naa nguvu katika vijana hao maanake vijana wengi sana wapo katika hayoo mazingira ndani ya nchi na njee ya nchi .. Jaazaakal Khairan .
Mashahalah. Tunashkulu Sana kishki TV Allah awazidishie kheli mi naomba muendelee kutuelimisha pia naomba selikaliyetu itusaidie upande waelim ya akhela
Mashaallah hakika hii ni hatua nzuri sanaa kishki tv mumeifanya nawapongeza sanaa kwa hili jambo niseme mashaallah mufanye kwa watu wengine pia wamitaani wanajua maplayer wa mpira lkni Qur'an hawaijui endeleeni ivo ivo inshaallah Allah awatilie taufiq inshaallah 🙏
Maasha Allah wa tabarrak rrahman amiin ust Alhamdulillah tu tunaendelea kujifunza na street questions pengine swala limewachanganya ksbb io surah ina majina mawili lahab na masad shukran
Shehk kishik naomba uwe kama shehk yusuf abdi yeye anajichanganya kila kona muhimu dawaa ifike sasa hapo uende ukawape darsa inahuzunisha jmn kama mzaz tena mpka wanawake subhanallah 😢😭
Assalamaleykum warahmatulah wabarakatu Napenda kutoa pongezi za dhati Sana kwenu kishiki tv KWA kuanzisha kipindi hiki maana kinatufungua macho inatukumbusha sisi wazazi tusifuge watoto ,bali tuwalee ktk misingi ya kidini
sbuhanallah 🤣🤣🤣msiba mzito wallah dugu waislamu Allah atusimamishie ktk hakki na tuachane na mambo ya kidunia atuongozee ndugu zetu na vijawa wetu wa kiislamu allahuma khifly waliwali daiyya walli- muumina yauma yakumu ll hissab allahuma khfirlahum warhamhum waskinuhum maaka fil-janna ya arhama rrahimin🤲🤲