Hosted by: Nassor Bin Shabaan Guest: Sheikh Salim Barahiyan الجواب الكافي {Jibu lenye kutosheleza} RADIO IHSAAN FM TANGA, TANZANIA ANSAAR MUSLIM YOUTH CENTER
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatuh,Sheikh Allah akubarik akuzidishie kheir na neema na barak na mwisho mema pepon.ameen Mie naomba kama kuna kitabu naweza kusoma ili nipate kufahamu vizuri,subhaanah Allah kdg nimekuwa mgumu wa kuhifadhi Allah anijaalie niwe na fahamu ameen.
Waaleykum salam warammatullah wabarakatu fatma babaz kwanilivo elewa mimi mda wakuswali swala iyo ni kuanzia asubuh baada ya kuchomoza juwa na mwisho wakuswali ni kabra ya azuhur ndipo inaisha swala iyo kwasiku iyo mpaka kesho tena