shekhe yuko sahihi kutuelimisha na kwakweli MWANZO wa ushetani ni sisi wanaume wajua KABISA mke wa furan wewe wamfukuzia matokeo YAKE waacha familyako utaenda jibu nini mbele ya Allah wanaume wenzangu tujieshimuni kama wataka mke.mwingine Bora kuoa kuliko kuzini hata kama hajaolewa nizambi kubwa sana
I guess im asking the wrong place but does any of you know of a method to get back into an Instagram account?? I was stupid lost my account password. I would love any tricks you can offer me.
nikwel Shekhe heshima unajiekea mwenyewe lakin wanaume munatabia mbaya yakutongoza tongoza ovyo tena mda mwengine MTU ukimkatalia atakufanyia kilahali alimradi awe na ww karib naroho za wanawake ninyepes sana masuala yakutongozwa
A.alykum sheikh, jee ikiwa mume ndo aishi na hawara ndani. mkewe wa halali hataki aende pale kwenye nyumba yke. na mume ampa vtisho mke km akimfata, nini afanye mke na hayuko tayar kuikosa ndoa yke
Na Sisi wanawake je unajuwa anahuyu na Yule je unaweza kuishi maisha hayo ya roho juu juu Tu au mwanamke ukisha ona mume anatabia za kuona hasa je unaweza kisema ndoa hii bas au haifai ukae tu kufa kubona?
Naomba mnisaidie jina la huyu shehe ili nikatafute dvd zake kiukweli anazungumza mawaidha ya kutuelimisha nitumie jina lake inbox no +255713 442590 tupendane kwa ajili ya allah
@@hashimrupia8727 Maduwa Ya Kuwarehemu Wazee Na Waislamu Wote walokufa Na Sisi Tulokuwa Hai Kuombeana Rehma Ni Wajib Ni Siku Zote Na Wakati Wowote Na Mahali Popote.
ndowa ni mapenz Shekhe siokirahis kuachana kiivo wanaume mtosheke na uke msione hamna makosa kuwabebesha wanawake makosa yote kila mmoja atabeba mzigo wake