Kwenye Kikao cha tupige gumzo naye Jeridah Andayi Inspekta Mwala anaeleza jinsi anavyochukia vipodozi katika uso wa mwanamke #JeridahAnday #InspekytaMwala #TupigeGumzo
Jarida wacha zako soma hio maandiko ya esther vizuri,mahali walikua wamekwa hili wajitengeneze kwa ajili ya kufika mbele ya mfalme, ili mfalme achague mwenye atampendeza,esther hakujipodoa kutoka mwanzo hadi siku walienda mbele ya mfalme,mfalme alimpenda bure mbila vipodozi,zaidi ya yote hakumuuliza esther alikua kabila gani.