Katika maoni yangu ku vape au kunywa huwezi maliza hata 10k za kenya lakini kitu inarudisha nyuma watu ni ladies wananyonya wanaume mbaya na kwa ajili love imeshika unajikuta same people mulioanza nao.maisha wako mbele sisi wakati sisi hata hakuna foundation yyte nzuri tumefanya .. anyway, I'm new here na nimependa video zako ziko educative
@@ceasarkimeu1766 The comparison he made is correct. Paying 67 GBP in terms of rent in the UK is like paying 1000 shillings in terms of rent in Kenya. A studio apartment (bedsitter) goes for around 600-900GBP_ so you can imagine paying 67GBP as rent _
Kumbe wewe ni legend wa Blue moon. Tuko wengi. Una chapa mzinga mbili one night na bado kesho ni wera... ama una chapa beer kama 10 daily from friday to monday na bado monday ni works.... 😂
I tried but they needed a referral..I hate it now.Ilinivinja moyo sana.Sikujua mtu....nilienda mpaka Nanyuki wakaniambia siezi ona soldier huko...mpaka nikuwe namjua.
Do the British citizens also get this salary or it's just for Commonwealth members..no wonder wazungu hawaipendi Haina doh vile unless hio doh uitume Africa
Vipi im 33 years and coming soon for assesment hapo Litchfield, already got visa. However i have some white hairs, ni kitu iko kwa family yetu. can that prevent me from passing or being selected?