Тёмный

JESHI LA CONGO LAKANUSHA TUHUMA ZA KUMPINDUA RAIS TSHISEKEDI 

VOA Swahili
Подписаться 268 тыс.
Просмотров 36 тыс.
50% 1

- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Развлечения

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@thaddeekibeka6135
@thaddeekibeka6135 2 года назад
habari za uwongo kabisa, ni issue za maslai kati ya tshisekedi na Beya
@ndayishimiyejean6262
@ndayishimiyejean6262 2 месяца назад
😢 wongo muksha fanya mapinduzi maranyingi munashindwa hatajuzi lishikana ju bangi mbici
@alexkabazo9491
@alexkabazo9491 2 года назад
Don't forget to be united love each other no kombanga.
@alexkabazo9491
@alexkabazo9491 2 года назад
Be strong as one people
@bimirajonathan3271
@bimirajonathan3271 2 года назад
Majeshi gani hawa uki rusha risasi hauwezi.ona hata mumoja
@alexkabazo9491
@alexkabazo9491 2 года назад
First congolesse wake up love your owner country congo nde papa na mama totikanganyinganyi nabomoko yabiso bana congo zaire ndetokolonga bitumba mutuakosa binote tolinga mboka ya biso congo totika kozalasima yamipaya understand each every one fall the lows of country building ourselves owner Congo peace I'm alex from congo MOBA Tanganyika living in America .
@nehmiakinanga4590
@nehmiakinanga4590 Год назад
Chaîne ya ma shetani VOA m23
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 года назад
Chenga nyie hamna jeshi mnamigambo tu
@fidelkalenga7698
@fidelkalenga7698 2 года назад
Unasema Congo aina jeshi ni mugambo ?
@mc.hassankivuhits4516
@mc.hassankivuhits4516 2 года назад
Hatutaki mapinduzi kbsa
@wamunguemmanuel6784
@wamunguemmanuel6784 2 года назад
Bapinduwe mshenzi ule
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 года назад
@@wamunguemmanuel6784 kisha unafikiria ndo maendeleo itafanyika, kama unakumbu kumbu mobutu alifanya nini
Далее
Hofu ya vita yatanda Mashariki ya Kati | VOA Swahili
30:01
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
MAPIGANO MAKALI JESHI LA CONGO DR NA M23
2:42
Просмотров 89 тыс.
RAIS TSHISEKEDI MBELE YA MAGUFULI AMEZUNGUMZA HAYA
21:46
Kurdistan: The Military History of a Stateless Nation
34:53
Эта Белка Миллионер! 🥜
0:16
Просмотров 4,7 млн
Это было очень близко...
0:10
Просмотров 1,1 млн
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
0:34
Просмотров 36 млн