Тёмный

Jeshi la Israel lilivyomuangamiza kwa bahati tu mtu namba moja kati ya iliowasaka kwa udi na uvumba 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 149   
@mangulimanguli3974
@mangulimanguli3974 6 часов назад
Jemedari sinwar mungu ampe pepo fil daus
@sadicklugendo2514
@sadicklugendo2514 14 часов назад
Hii vita si yakufurahisha isipokuwa tunahitaji tufanye maombi vita hivi visite mara moja. Badala yakujenga imani yakuiacha vita hii kuna wanaohisi wanatwaa ushindi kwa upande wao, na upande wapili unageuka kuwa pandikizi lauadui nauhalifu wakudumu zaidi duniani.
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 14 часов назад
Media yangu pendwa SNS Baada ya CROWN MEDIA . Big Fredrick Bundala 👏
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 11 часов назад
Binafsi huingia katika channel hii kila baada ya dakika 5 kutizama kama kuna jipya hasa kuhusu mambo ya siasa za Magharibi na habari pia zinazohusu mashariki ya kati pamoja na magharibi
@Bahati47
@Bahati47 14 часов назад
ALLAH atujalie pope ya daraja ya juu kabisa akujaalie kuwa jirani na kipenzi chetu MUHAMMAD s.a.w. inshaAllah 🤲🏿 umekufa ki shujaa mwenye kupambambania Ardhi yako na hii jihadi kwako
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 13 часов назад
Hivi ni vitu vya ajabu sana mlivyo kalilishwa 😂😂😂 Hivi unafahamu kuwa Washia na Suni wako kwenye Uadui mkubwa sana?
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 11 часов назад
​​@@georgekimasaofficial1629ni sahihi lakin hapa hakuzungumzia issue ya Mashia wala Masunni na ikumbukwe kwamba Gaza asilimia kubwa ni Masunni lakin baado wanaungwa mkono na kusaidiwa kwa asilimia 💯 na Mashia ambao ni Iran, ikumbukwe tu wazi kwamba hawa ni MASHAHID, ambao wanakufa kishahid, nando maana ya shahada huyu anapigana vita na Israel hapa ni mas-ala ya kiimani tofautisha kati ya Iman pamoja na Dhehebu.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 11 часов назад
@@nassoroshakiru7094 safi 👏😅
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 часов назад
😂😂😂 huyu Mohamed S. a.w aloozea hapo Madina ndio awe kirani ?? hakiaMungu loo! Hao eafu kama wafu wengine hakuna Cha mtume Mohamed Wala Sinwar Tena huyo ndo chanzo Cha yote hayo et ameagiza ooh watu wapgane jihad mpaka kufa kwa akili ya Allah 😅😅 .. yeye mwenyewe kafiri mkubwa Cha moto anakiona huko kuzimu .. ulionana wapi binadamu anampigania au kumtetea Mungu.. mfunfisho yanasema Mungu ni mtoshelevu.. haitaji msaidizi yoyote 😅😅.. we Leo hii et unashika mapanga kuua watu kwa akili et Mungu kakejeliwa ooh mara unaua kafiri 😅😅 hio sio kazi mwanadamu ni lkazi ya Mungu mwenyewe.. haya ngoja apeweabikra 72 wa utapeli huko wanakopewagwa.. duu Imani zingine mtanosamehe 😅😅
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 8 часов назад
Allahumma amyn
@Mubarak552
@Mubarak552 13 часов назад
Amekufa kishahidi, Yahya Sinwar, tutamkumbuka daima, kifo chake kimepindisha nyoyo zetu, ukombozi wa Palestina uko karibu
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Hio sahau
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 часов назад
Watu wengine , hapo unaongea umekaa wenzio wanajiona nginjangija 😅😅 eti tutamkumbuka 😅😅😅
@JacobMakwilo-u6e
@JacobMakwilo-u6e 6 часов назад
Soma bibilia wewe MUNGU alishasema palestina watakutana na adhabu hivyo usitegemee watapata nafuu watapigwa sana soma kitabu cha Amosi 1:6
@martinisadru9899
@martinisadru9899 6 часов назад
Unajua! Usichukulie poa! Hizi ni nyakati mbaya! Bibilia ilishatabili miaka 3000 ilopita, kua nyakati za mwisho! Taifa dogo Israel,,kulipiga taifa kubwa,,! Parestina,, kumbuka kua Israel na parestina ni wazariwa mapacha. Parestina ni kulwa na Israel ni doto.
@Stillrunlikeaball
@Stillrunlikeaball 3 часа назад
​@JacobMakwilo-u6e Bibilia Nikitabu Mlicho letewa na Wazungu kutoka kwa shetani ili Muwe wapotevu hapa Duniani 😷
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 14 часов назад
Allah amrehemu
@EnockMwanyonga
@EnockMwanyonga 13 часов назад
Allah ndiye alimuuua kwani damu za watoto na wanawake wasio na hatia ndiyo hukumu yake imefika. Mungu ibariki Israel na kubariki watu wako, Utukufu na heshima Uwe kwako ewe mwenyezi Mungu mola mtukuka
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 13 часов назад
​@@EnockMwanyongakumbe nawew pia shoga ndy maana unaipenda Israel
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
We James shoga ni babaako taira kabisa unamtukanaje mtu bila kosa lolote kapime akili wewe sio mzima na bibilia ilishasema atakae ibariki Israel atabarikiwa kwahyo hata muichukie vipi Israel itabaki pale pale na maadui wa Israel wataangamizwa ni muda tu
@jumakassim8718
@jumakassim8718 12 часов назад
Ameen yarabil alameen
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 10 часов назад
@@ephraimwadaudi2867 kwahiyo nawew ndyo unaendelea kuthibitisha kwamba wew punga
@hilarymtepa9811
@hilarymtepa9811 12 часов назад
Mtu mmoja sio ishu,akifa anapewa uongoz mwingine mapambano yanaendelea.
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 11 часов назад
Asife mana kila mtu anakali zake
@annasolomon9855
@annasolomon9855 10 часов назад
Na hao wengine wanapewa wanauliwa ndo tunaendelea mpaka lini😊😊?
@paschalcharles3617
@paschalcharles3617 13 часов назад
Nilikua namkubali sana huyu jamaa, Yahya al-sinwar 🙌
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 12 часов назад
Hivi unawezaje kumkubali mtu anayepanga mauaji?
@JohnCage-we6tp
@JohnCage-we6tp 11 часов назад
​@@humphreymwihambi4330kwel ameuwa ila ameuwa kw nin ?? Je huo ni chizi au kam akamate t mtu achinje ??
@salminisaleh9249
@salminisaleh9249 9 часов назад
Mtu Kafia Uwanja Wa Mapambano Unasema Cyo Kamanda . Ipo Siku Haki Itapatikana Inshallah 🙏
@Muzammil99p
@Muzammil99p 14 часов назад
Shujaa wa ukweli ❤❤
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 12 часов назад
Aliyepanga mauaji ya watu 1200 ni Shujaa kumbe?
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Shujaa wakati yupo jehanam kwa kuuwa watu wa mungu
@abdulhafidhkhalfannassor827
@abdulhafidhkhalfannassor827 11 часов назад
Kwanini asiwe shujaa wakati anapambana na adui yake yoyote atakae mshinda adui huyu ni shujaa
@JohnKaliagi
@JohnKaliagi 11 часов назад
​@@humphreymwihambi4330kafa huyo,mtamsahau mda si mrefu
@annasolomon9855
@annasolomon9855 11 часов назад
Shijaa mwenye kuicha Gaza kwa Hali Ile .. 😊​@@abdulhafidhkhalfannassor827
@JohnKaliagi
@JohnKaliagi 11 часов назад
Sio bahati mbaya, mungu kamtia mikononi mbona hamkubari,au mnamsemea mwenyezi ❤❤❤❤
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 14 часов назад
Moja wapo wa kibarua tulicho pewa na mwenyezi sisi wanaume ni hali utakayo kuwa nayo ule wakati wakukata roho utakuwa katika hali gani mtu yuko vitani anapigania wajuu zake waje kuishi vyema wengine wakutwa umauti wakiwa wanapakwa mafuta ili kubadilisha jinsia tusaidie puttin haijalishi watakufa kiasi gani kufa katika mapigano yakupinga uasi katika aridhi yako ni ushindi
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 13 часов назад
Mbona historia inainuwa mboni ili kuruhusu machozi, amini waarabu hawapendwi gadafi kauwawa kama hivyo ona na huyu kifo chake vyafanana ,gadafi alisema msiniuwe sina hatia 😭😭,walimuuwa
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu 11 часов назад
Hakika kifo cha gadafi 😢😢
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 9 часов назад
@@gayanimwansasu 😴😴
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 часов назад
Halafu ww sky unazingua huyo sio gaidi
@omondiowino7875
@omondiowino7875 14 часов назад
Ni gaidi
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 часов назад
@@omondiowino7875 sikulaumu ww mkiristo
@BrunoDerick-y5d
@BrunoDerick-y5d 14 часов назад
Gaidi kabisa inaeleweka ye mwenyewe alishakuwaua wapalestina wenzie
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 часов назад
@@BrunoDerick-y5d ndio maana nikasema mm siwezi kushindana na wakristo yes bora tu yaishe bro
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 14 часов назад
@@BrunoDerick-y5d na ukitaka ujue sababu nitafute nikwambie
@dorcaskarago2876
@dorcaskarago2876 12 часов назад
Afadhali amekufa mana ayo maisha ya kuishi chini ya ardhi ni mateso tu
@OlaisMoses
@OlaisMoses 14 часов назад
Unajua shida yetu wa bongo hawa jamaaa wanapigana sisi tunawaoneaa huruma sababu moja ni ya kidini lakini hawa jamaa ni wabagudhi mno kwa ngozi nyeusii sio murabu sio mzungu nyie ambao hamjatembeaa ndio mnawependa hawa jamaa ila sisi tulio Tembeaa wa Jomba sio poa nyie mnaooo bishana hapa hamna kazi za kufanya
@mkude
@mkude 12 часов назад
Ulichoandika kina maana gani kwahiyo mtu kama wewe utawaonea huruma mashoga,kama ulibaguliwa na mzungu ndo unataka kutuambia nini kwenye hoja yako,kama ulibaguliwa wewe sisi inatuhusu nini,nenda kaungane na p Diddy,watu wanakutana wewe unaongea pumba
@ce-08
@ce-08 11 часов назад
@@OlaisMoses wachache watakuelewa maana wengi hapo wanasombwa na ushabiki wakidini lakini hao wote hawanamaana
@khalfanothuman9988
@khalfanothuman9988 14 часов назад
صبرا صبرا يا آل فلسطين نحن معكم فإن موعدكم الجنة
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 8 часов назад
Sio bahati, ni mpango wa Mungu.
@MaurusMpinga
@MaurusMpinga 11 часов назад
40 ikifika hamna bahati shujaa hafii
@emmanuelShayo-dk6vf
@emmanuelShayo-dk6vf 12 часов назад
Kama mbwaa ..kamanda unakufa na fimbo mkononi 😂😂 yani ata Iran walishindwa kumuhifathi..
@omanmct135
@omanmct135 14 часов назад
Inalilah wainailah rajiun kafa shahidi
@veeJesus
@veeJesus 11 часов назад
Huyu ndo alipanga shambulio la october 7. Wahahudi 1200 walikufa na mateka bado wameshikiliwa. Kwendraaaaaaa afe na uko shenzi
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata 9 часов назад
IDF 828 DISLAMETCH BRIGADE NDICHO KIKOSI KILICHO MU UWA YAHYA SIN WAR aisee SNS MNA CHAMBUA KWA KINA NINYI NI HATARI MNOH KWA UCHAMBUZI nathubutu kusema hamna kama ninyi 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪 🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️🎙️
@PascalMwita-bv8kr
@PascalMwita-bv8kr 12 часов назад
SNS NUMBER 1 TANZANIA IN RU-vid IN GLOAB
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp 7 часов назад
yupo wapi sj simaa,tumechoka na habari za bbc na cnn
@bigoraselemani5404
@bigoraselemani5404 14 часов назад
habari za commonder wa Israel ku uwawa mbona auzungumzi
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Kafieni mbali na hilo gaidi lenu
@Happy-be8hh
@Happy-be8hh 8 часов назад
Usiite ukatili ni haki yao
@mkude
@mkude 12 часов назад
Shujaa anekufa kishujaa kutetea Ardhi Yao na watu wao.
@DjMswati
@DjMswati 14 часов назад
israel nataman ingeakua TZ
@GeraldBahegwa-rn3vb
@GeraldBahegwa-rn3vb 10 часов назад
Siku 39 baada shambulio la october 7, sinwar alifanya interview na bbc, je bbc walipataje access ya kuongea naye akiwa kwenye mahandaki? Ndugu bundara tusaidie kidogo hapo.
@chrispincelestin6446
@chrispincelestin6446 7 часов назад
Uyu bwana alikuwa katili na mwenye roho mbaya afadhali wamekaauwa bwana 😂😂😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 14 часов назад
Kaseem Suleiman, yahaya sinwar,hawa jamaa wananyayo za osama bin raden,. Maana walikuwa na moto wa kuotea mbali
@JohnKaliagi
@JohnKaliagi 11 часов назад
Sura yake haina nuru
@GeraldBahegwa-rn3vb
@GeraldBahegwa-rn3vb 10 часов назад
Duh
@khamsjabdullah691
@khamsjabdullah691 13 часов назад
Alivokufa utadhani steering wa movie
@aminadjuma7555
@aminadjuma7555 7 часов назад
Na nyie mnapenda kurudiarudia
@magrethmagonza186
@magrethmagonza186 13 часов назад
Kwa bahati kivipi kwenye vitani jamani ni mikakati tu siku ikifika hamna ujanja unakufa.
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 13 часов назад
MUNGU ibariki israel❤️🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏
@BashiruMavusu
@BashiruMavusu 8 часов назад
SINWAR KAFA KISHUJAA SANA,, NA HII NDYO INSONGEZA NGUVU KWA WAPAMBANAJI
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 14 часов назад
Huyo ni njaa imemkomesha akaamua kutoka mapangoni
@khalfanothuman9988
@khalfanothuman9988 14 часов назад
Kiongozi amekufa mateka 100 bado wanao du! ألا إن نصر الله قريب
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 8 часов назад
WALIKUA WANAMTOROSHA AKAVAE DELA LAKE ILI AENDE IRAN.😂😂
@aqthamsalim6775
@aqthamsalim6775 11 часов назад
Kafaa kishujaa❤
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 8 часов назад
Shujaa afagi 😂😂😂
@sampart2669
@sampart2669 14 часов назад
Inavyonesha SKY unapenda kusikia hao viongozi wa HAMAS wanakufa mana kila siku story ni hizo tuu
@saiddimarley8445
@saiddimarley8445 12 часов назад
Wakina Osama bado wapo hata wakina Sinwar wapo kibao kazi mnayo
@mohamedaley5632
@mohamedaley5632 3 часа назад
Hizo nakala za CNN unatusomea sisi tunaojua ukweli uko Aljazeera tu pekee
@Fardadihd
@Fardadihd 13 часов назад
Ww unazingua huyo sio Gaidi
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 13 часов назад
Gaidi hilooooo limekufaa🤣🤣
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Unaongea ujinga wakat yeye ndio aliepanga mauwaji ya October 7 wakabaka wakachinja watoto wakateka wamama mpaka maiti zikabakwa kafieni mbali na hilo gaidi lenu
@omanmct135
@omanmct135 14 часов назад
💔😭🤲🏻☝️
@AbdallahOmary-e9z
@AbdallahOmary-e9z 6 часов назад
Et kama mkimbizi jmn hiz propaganda an kuna kila dalili za kufichwa mambo mengi na kuna kila dalili za uongo ili kudhalilisha watu wa upande mmoja na kuwapamba wa upande mwngine😂😂 mtu kafia kwny uwanja wa mapambo na hatujii ni nn kmewatokea na wao kweny hayo mapambano ya kumuua coz wanaficha mno kuuawa kwao😂😂J
@BashiruMavusu
@BashiruMavusu 8 часов назад
KATIKA UISLAMU KUFA KWA KIONGOZI SIO SHIDA
@omondiowino7875
@omondiowino7875 14 часов назад
Bendera ya Israel inazidi kupepea 🇮🇱🇮🇱
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 13 часов назад
Jaluo kama kawa😂😂 si shangai si mnasemaga majaluo mlitokea huko furahi bwana
@omondiowino7875
@omondiowino7875 13 часов назад
@@FahadAbubakari-y3f tulitoka huko au hatukutoka huko ...hiyo si sababu ya kuipenda Israel...
@FahadAbubakari-y3f
@FahadAbubakari-y3f 13 часов назад
@@omondiowino7875 Safi jaluo ukienda Israel penda na matendo yao inatakiwa utahiri sasa
@omondiowino7875
@omondiowino7875 12 часов назад
@@FahadAbubakari-y3f mtoto wa kiume unashida gani na mhogo wa jang'ombe wangu... mtume dadako kwangu atakupa majibu
@SalumSanaa-oc8cw
@SalumSanaa-oc8cw 6 часов назад
Na ushoga unazidi kuenea mmefurahi watu wa p diddy
@EriyaRichard
@EriyaRichard 14 часов назад
Una zingua sky mbona una mpromot sana huyo jamaa na wala siyo gaidi mm ni mkristo ila napenda uhai wa watu
@somymoivanlukumay4198
@somymoivanlukumay4198 13 часов назад
Uyo ni gaidii tuu haijalishi kama wew ni mkristo wa mchongo😂🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏
@aksonmichael6027
@aksonmichael6027 15 часов назад
Sio Kwa bahati, hii vitaa watakubali 😂🙌
@bensonphilip9673
@bensonphilip9673 15 часов назад
1St
@AnjelMwaluka
@AnjelMwaluka 14 часов назад
Mashoga skuiz wananguvu ivo
@ce-08
@ce-08 14 часов назад
😂😂😂
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Hakuna taifa lisilo na mashoga pengine hata babaako ni shoga
@TumainiMandala
@TumainiMandala 14 часов назад
MIMI RAHA YANGU KUONA JAMAA WANVYO BONDANA NA KUONA KUWA WANVYO ONESHANA UWEZO WA KIJESH WENYE TEKNOLOJIA
@sonnyr1899
@sonnyr1899 14 часов назад
Pole sana mwenye kusherehekea vifo vya wenzie usihofu ipo siku na wewe utakufa.
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 14 часов назад
Tumaini you must be fool you never experience of war. Mugu mumu🤑🤑🤑
@ce-08
@ce-08 14 часов назад
​@@sonnyr1899HATA WEWE USIO SHEHEREKEA UTAKUFA PIA😂😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 14 часов назад
@@ce-08 Bila shaka nitakwenda wala hatuwezi kulumbana kwenye hilo ila kufurahia vifo vya watoto, waze, kina mama iwe upande wowote ule hio ni zaidi ya uchawi
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 13 часов назад
@@ce-08 you must be fool
@hilarymtepa9811
@hilarymtepa9811 12 часов назад
Mtu mmoja sio ishu,akifa anapewa uongoz mwingine mapambano yanaendelea.
@ephraimwadaudi2867
@ephraimwadaudi2867 12 часов назад
Israel itashinda tu kama biblia ilivyotabiri
Далее
How drone technology is changing warfare | BBC News
16:46
The REAL Truth Behind the DVD Logo
01:00
Просмотров 30 млн
Это было КРАСИВО!
01:00
Просмотров 1 млн
The Rise of India's Private Space Firms | Momentum
24:02
How to win a argument
9:28
Просмотров 636 тыс.
The Strongest Militia in the Middle East
13:49
Просмотров 1,1 млн