mahitaji
nyama ya kusaga nusu kilo
mayai 15 yalochemshwa
mayai 2 yakuchomea
Dania 1
kitunguu maji 1
limau kipande
kitunguu thomo 1 kilichopondwa
chumvi kijiko 1
garam masala kijiko 1
paprika kijiko 1
dhania ya unga kijiko 1
pilipilimanga ya unga nusu kijiko
chenga za mkate nusu ya robo kikombe
13 сен 2024