kupanda key za juu na pumzi ni tatizo kwa waimbaji wengi wachanga,kupitia video ni matumaini yangu kila mmoja itamsaidia ,jitume kila kitu kinawezekana
Yap,tofauti ni kwamba yeye ana kipaji ndio maana unaona anafanya kwa urahisi,kwa hiyo hii ni kwa wote wanaojua na wasiojua kupata maarifa zaidi Karibu sana ndugu YANGU
jadenbwax tz uko vizuri teacher mm ninashida ya mkwaluzo wa sauti na mawimbi sipati nifanyaje naishi dodoma naitwa peter shauri nisaidie nifanyaje nawe unapatikana wapi?
Can I get your number we communicate plz Nina kipaji but I dont know how to manage it najikuta kuna muda idea za kuandika ngoma zinakuja...nyingi but shida ni kujua gani nzuri zaidi