Ahsante saaaaana mwalimu kwa kujibu maombi yangu ahsante saaaana na nilikuwa naweka bando nione kama kuna kipya nafungua tuu simu naona notifications ubarikiwe saaaaaaaana
Umepata new subscriber mkuu, shukrn kwasomo ili, may God bless you, I wish ungeendeleza hii playlist ya beat za gospel, maana channel za bongo Flava na afro beats ninyingi mno
Mambo vipi?? Nineipenda sana mafundisho yako, naomba utoe tutorial ya namba ya kuinstal hypasoni, contact, purity na nexus Kwa njia rahisi Ili zisome kwnye cubase5 na FL studio.