Inategemea bro kuna modern mixing technology na analog ma sound engineer wa zamani walikua wana mix -6 waacha -4 for mastering lakini kwa sasa tuna deal na loudness Sanaa uki mix -6 mastering yako haiwezi kufanana na New technical mixing kwenye upande wa loudness na Punch kwa hiyo ni uchaguzi wako utumie njia gani