Тёмный

JINSI YA KUFUFUA MAMBO YALIYOKUFA - MWL. ISAAC JAVAN - (Mafundisho) 

Isaac Javan
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 18 тыс.
50% 1

BWANA YESU asifiwe.
Unapookoka, unapewa na Mungu uwezo wa kufufua mambo yaliyokufa. Katika maisha tunayoishi hapa duniani, kuna vitu vingi vinaweza kufa, au kuuliwa. Kwa mfano:
1. Zipo biashara zilizokufa
2. Zipo ndoa zilizokufa
3. Yapo maono na ndoto zilizouliwa
4. Vipo viungo kwenye mwili wa mtu vilivyokufa, n.k.
Sasa, ndani ya somo hili, utajifunza mbinu ya kukusaidia kufufua mambo yaliyokufa kwenye maisha yako. Karibu, na ubarikiwe na BWANA YESU. Amen!
Maombi/Huduma (+255 745 76 45 72) (Email: knowingthekingdom@gmail.com)

Опубликовано:

 

9 окт 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@cesiliamasumu432
@cesiliamasumu432 18 дней назад
Nimepata Raha sana nilipopata hili somo leo miaka mi3 imepita lakini nimefarijika sana juu ya Damu ya Yesu Takatifu Yesu nisaidie niitumie Damu yako sawasawa ili nifufue afya yangu iliyokufa Mungu nakutukuza kwa ajili ya mtumishi uliyemtuma kwetu ili tupate maarifa asante Yesu Barikiwa Mtumishi na familia yako
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Asante Baba Mimi Niko uarabuni ni mwislam niliyesoma dini haswaa lakini nafsi yangu ikiskilza.mahubir yako napata amani
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Sifa na utukufu kwa BWANA YESU. Ubarikiwe sana mwanangu na asante kwa kuungana nasi kwenye mafundisho na maombi
@KavungoSokoni
@KavungoSokoni 6 месяцев назад
mimi nakusikiliza toka🎉 Congo RDC nikiomba naihsi wanga maneno yakuomba nakosa kama niaje naomba unisaidiye
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 месяцев назад
Mungu akubariki, tunayo miongozo ya maombi. Naomba uitumie na itakusaidia kuomba zaidi na zaidi.
@patriciangugi6459
@patriciangugi6459 3 года назад
Barikiwa sana mutumishi wa mungu,naomba utufunze kuvunja laana za kifamilia
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen AMen, ubarikiwe na BWANA YESU milele. Nitaweka hayo mafundisho pia, tuzidi kuombeana. Amen
@tinnanovart7817
@tinnanovart7817 3 года назад
Namshukuru mungu kupitia mafundisho yako nafungulia nilikuwa nimerudi nyuma Sana ila sasa naona uzima kupitia wewe mtushi naimani nitafungulia zaidi nazaidi ninapo endelea kujifuza mafundisho yako ubarikiwe sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen, ubarikiwe sana kwa kufuatilia neno la Mungu kupitia mafundisho haya. Roho Mtakatifu akufunike na nguvu zake na akuhudumie sawasawa na mapenzi yake. Ubarikiwe na BWANA YESU milele
@monikamadahamasanja2868
@monikamadahamasanja2868 3 года назад
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa mbinguni hakika nabarikiwa naomba namba ya wthaspp
@lennyfrank
@lennyfrank Год назад
Ameen Ameen Asante Mungu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 месяцев назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@TazManda-ti4xw
@TazManda-ti4xw 16 дней назад
barikiwa sana ila napenda nione video zako live ukifundisha maana unaweka sauti bila video
@user-gc5jb4hp8b
@user-gc5jb4hp8b Год назад
I ❤ your preaching coz have opened me somewhere
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Amen mwanangu God bless you with everlasting blessings
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Nashukuru Mungu kwa kunikutanisha na hii tv nimejifunza Mungu akubariki sana mtumishi akupe maono zaid na zaid
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen, ubarikiwe pia na BWANA YESU milele. Mungu Roho Mtakatifu azidi kukuhudumia na kukutana na haja za moyo wako. Amen
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
@@IsaacJavan Amen Amen 🙏
@FarajaMushi-tw2lr
@FarajaMushi-tw2lr Месяц назад
Nabarikiwa 🙏
@mariamwaweru6049
@mariamwaweru6049 2 года назад
Amen amen be blessed a lot man of God
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen Amen God bless you too with everlasting blessings. Keep walking in victory through CHRIST JESUS
@annamulenda6652
@annamulenda6652 3 года назад
Asante ,,,,thanks for the teachings.....much blessed
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen, GOD bless you always.
@FarajaMushi-tw2lr
@FarajaMushi-tw2lr Месяц назад
Barikiwa
@ruthnimanje7246
@ruthnimanje7246 3 года назад
Amen naamini kila kitu katika maisha yangu na familia vimefufuka
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen hakika, ubarikiwe na BWANA YESU milele
@celestineashiundu7426
@celestineashiundu7426 3 года назад
Amen ni kweli ni vizuri kujiombea
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@fgggvh6090
@fgggvh6090 2 года назад
Amen Amen Barikiwa mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@magdalenesyombua8085
@magdalenesyombua8085 2 года назад
Ndoa yangu naifufuke Leo in jésus name
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen Amen, BWANA YESU akutendee hilo, katika jina la YESU. Amen
@gideonngwachet671
@gideonngwachet671 Год назад
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@floramochiwa572
@floramochiwa572 2 года назад
Ameen. Barikiwa sana mtumishi
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@rehemaabinelynyagawa2878
@rehemaabinelynyagawa2878 Год назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@joycejulius2820
@joycejulius2820 2 года назад
Barikiwa sana mtu wa MUNGU
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen ubarikiwe pia na BWANA YESU
@milikaekal8623
@milikaekal8623 2 года назад
Haki thanz kwa mafuzo
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Tafadhali nawez pata mawasiliano yako
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Mungu akubariki mwanangu, namba zetu zipo hapo kwenye video. Zitumie kuwasiliana nasi.
@giftzephania69
@giftzephania69 3 года назад
Mtumishiii Mungu akuinue zaidii
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen Gift, ubarikiwe na BWANA YESU milele.
@dennismakunza9968
@dennismakunza9968 2 года назад
Barikiwa mwalimu
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@pilirashidi5450
@pilirashidi5450 2 года назад
Ameeeeeeen 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@philipojangama
@philipojangama 3 года назад
Ameen.
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@muneeramuneera3302
@muneeramuneera3302 2 года назад
Ndio bwana🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa
@gracewangari1471
@gracewangari1471 2 года назад
Amen Amen Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
@malaika7021
@malaika7021 3 года назад
Hallelujah Glory Be To GOD ALMIGHTY 🙏 🙏 🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@malaika7021
@malaika7021 3 года назад
@@IsaacJavan Ameeeeeeen Hallelujah I Receive In JESUS MIGHTY NAME 🙏🙏🙏
@GAlice-cn5zh
@GAlice-cn5zh Год назад
Amen!Amen!Glory and his Honor into him!
@sarahsamatwa3211
@sarahsamatwa3211 3 года назад
Ameeen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏💓💓💓💓💓💓💓💓🌷
@IsaacJavan
@IsaacJavan 10 месяцев назад
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
@malaika7021
@malaika7021 3 года назад
AMEEEEEEEN HALLELUJAH ❤️ 🙏🙏🙏
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@deodatasndunguru989
@deodatasndunguru989 2 года назад
Mungu akutunze sana
@malaika7021
@malaika7021 2 года назад
@@IsaacJavan AMEN HALLELUJAH
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
@@deodatasndunguru989 Amen mwanangu ubarikiwe sana
@malaika7021
@malaika7021 2 года назад
@@IsaacJavan ASANTE SANAA HALLELUJAH 🙏❤
@elvisekhayemba9069
@elvisekhayemba9069 3 года назад
Ameeeen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@yahayatemu1003
@yahayatemu1003 3 года назад
Amen. Naomba simu nambar yako mtumishi.
@linaurio3641
@linaurio3641 3 года назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele. Namba zetu zipo hapo kwenye video. Unaweza ukapiga au kutuma ujumbe mfupi wa maandishi. Karibu sana
@IsaacJavan
@IsaacJavan 3 года назад
@@linaurio3641 Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
@@mercykariithi7919 pole kwa kunikosa hewani mwanangu, nimeiona Email yako, nami nimeijibu. Mungu akubariki
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
@@mercykariithi7919 Amen Amen ubarikiwe sana
@esthermalisa9516
@esthermalisa9516 Год назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@maglindaanyango
@maglindaanyango Год назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 6 месяцев назад
Amen Amen hallelujah
@maglindaanyango
@maglindaanyango Год назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan Год назад
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@doricemagoma1690
@doricemagoma1690 2 года назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
@vailethmbulule8339
@vailethmbulule8339 3 года назад
Amen
@IsaacJavan
@IsaacJavan 2 года назад
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Далее
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 422 тыс.
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
Просмотров 856 тыс.
MAOMBI YA ASUBUHI | Sitaogopa
6:06
Просмотров 521 тыс.
▼КОРОЛЬ СОЖРАЛ ВСЕХ 👑🍗
29:48
Просмотров 422 тыс.