Pastor George Mukabwa Jesus Restoration Centre, Mwanza Tanzania. For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa #5252176 #jrcchurch #Tanzania #jrctz
Ivi pastor unajua ww ndo ulinifanya nakajua kumtafuta Mungu wa kweli umenitoa mbali sana ata imani ikishuka kidogo nikiingia qwa mahubiri zako najazwa na iman nataman ungekua karibu pastor ili nizidi kukaa ndani ya utakatifu wa Mungu naitaji Roho mtakatifu sana kupitia qwako ubarikiwe na Mungu zaidi
Ubarikiwe mtumishi ila rekebisha yesu alifufuka jma tatu umekosea ila mengine uko vzur sana amekufa ijumaa mandalio ya sabato akafufuka ski ya kwanza ya juma jma pili