Тёмный

Jinsi ya kuifanya hard disk(LOCAL C) isijae kwa haraka 

Richstar
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Somo hili linaonesha jinsi gani unavyoweza ku clean/safisha local c au had disk kwa ujumla ili isijae haraka
Kwa sababu miongoni mwa sababu zinazo sababisha Computer yako iwe N a speed ndogo ni kuelemewa kwa files nyingi ktk hard disk
Hasa kwa wale wanaofanya kazi za Graphics design tatizo hili limekuwa sumbufu sana ndiyo maana nikaguswa kufanya tutorial hii.
MUHIMU:
Kumbuka kufuta Temporary files kila baada ya wiki au mwezi mmoja. Baada ya kutizama video hii Share na Subscribe my Channel.
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Jinsi ya Kutumia Photoshop CS6 kwa mara ya kwanza(Beginners) SEHEMU YA 1"
• Jinsi ya Kutumia Photo...
~-~~-~~~-~~-~

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 15   
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 8 лет назад
Sawa sawa Endelea kutupa Mambo. Shukuran
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 8 лет назад
2
@shukurumbuya511
@shukurumbuya511 5 лет назад
dah yan kaka unazid kunisaidia vitu vingi sna ahsante
@Gospelzone08
@Gospelzone08 2 года назад
Uko vizuri nakupata vema sana mkuu
@kisurangusa554
@kisurangusa554 4 года назад
Hongera sana
@FrankDavid-en6on
@FrankDavid-en6on 5 месяцев назад
Naomba kuuliza TB4 ORG huwa inasoma vip kwenye computer
@jacksondeo8212
@jacksondeo8212 6 лет назад
sawa sawa
@subirakibinga1828
@subirakibinga1828 5 лет назад
Daaah kweli broh nmeona imechukua GB 10 SANTEH BROH
@habarikaonlinetv
@habarikaonlinetv 5 лет назад
kaka richh file zang zmpotea natumia window 7naon sielew rbu nsaidie
@derickdavid5717
@derickdavid5717 7 лет назад
Computer gani io Richstar
@gidbway1200
@gidbway1200 7 лет назад
kwa window 7 hyo app data iko wapi
@gidbway1200
@gidbway1200 7 лет назад
mbona vitu vilivyoko kwenye desktop vimepotea
@shd12m55
@shd12m55 6 лет назад
Mbona faili la jina langu limepotea natumia windo 7
@shd12m55
@shd12m55 6 лет назад
Richstar thanks nimeshaliona
@ahmedmeddy7272
@ahmedmeddy7272 6 лет назад
richstar ukweli najifunza vingi sana kupitia ww but shida yang naomba mawasilianao yako ya simu au nitafute 0713336111
Далее
njia rahs ya kufuta window kwenye computer
6:18