Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu umenifanya nipende mahubiri Yako make namuona Mungu akinishughulikia Kila nisikilizapo mahubiri yako.endelea kunyenyekea baba, Mungu Yuko pamoja na wewe
Baba unafundisha kwa hekima sana na upole, itoshe tu kusema nakuelewa mnoo na unafundisha unaeleweka sana, mungu azidi kukuongezea umri mrefu na hekima zaidi 🙏🙏🙏🙏
Emen amen nimebarikiwa sana sana nimeenda kanisani muda mrefu sijai okoka lakini tangu nikusikize sai nimeoko na nimebadilish a mienendo zangu kupitia wewe mtumishi ubarikiwe sana
Toka nianze kukufatisha ktk mafundisho yako Aiseee, nimezidi kufunguliwa na Nimekuwa mtu mwingine haswa ktk Imani... Mungu Akubariki uzidi kutushibisha kiroho na kutufunguwa na kulijuwa neno ipasavyo, barikiwa sanaaaaa 🙏🙏🙏