Ewe mwenyezi mungu nitendee sawa sawa na mapenzi yako, mimi muislam ilitokea tuu ktk kugusagusa simu nikakutana na pastor George nikavitiwa na magundisho yake ki ukweli sijawahi kulala bila neno kutoka kwa pastor George kupitia mafundisho yake ki ukweli mungu akuwekee kiti chako peponi na uishi miaka mingi Nina Imani ni mpango wa mungu mim kulijua kanisa hili ubarikiwe sana
Yesu akupe neema ya kumjua zaidi kumuamini na kumkiri kuwa Ni Mungu na ni Mwana wa Mungu, ukifika hapo utakua umeokoka na pia Yesu akupe haja za moyo wako
You are a vessel of honour in the Master 's Service. May The Holy Spirit of God lead all Through and Extend your Territories. God Bless and the Entire church community at Large and all Viewer. God Bless. Thank you. .
Mtumishi wa Mungu pastor George Mungu akutunze na akuongezee nguvu Zaid kumwkilisha kiukweli nabarikiwa Sana na huduma aliyokuzawadia Mungu napona Mungu wa mbingu na nchi akubariki na kukulinda akuangazie nuru za USO wake na Skype amani
Mna bahati na neema kubwa sana washirika wa kanisa hili .Natamani kuhamia Mwanza niabudu hapo.Pastor Mungu akubariki unanivusha sanaaa.Bwana Yesu akutunze
Haki Mungu anakutumia vyemaa Nimejaribu kuskiliza mahali pengine ili kupata ufafanuzi kama huu ila nlkua Sielewi lkn mahali hapa sasa ni sahihi kwangu Mungu akubariki na arndlee kukutumia vyema kwaajili yetu mtumishi 🙏
Kongole pstr nimeelewa kati ya tithe na tithing zaka na utoaji wazaka neno Lilo neno katika zaka ,nyama-mzoga kwa kuhani na Moshi mungu yuapokea thanks kwa ufunuo huo Glory to God may He give you more revelation