Тёмный

JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA. 

Apostle Mtalemwa Bushiri
Подписаться 99 тыс.
Просмотров 110 тыс.
50% 1

HOW TO PRAY IN THE AFTERNOON
There are many things that God has closed in a certain time or season. In this lesson we learn how the day (noon/afternoon) has many good things if we understand how to use it. Also in this lesson Apostle Mtalemwa explains TWO KEY POINTS TO PRAY DURING THE DAY. Follow this lesson to learn more.
(Swahili)
JINSI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA
Kuna mambo mengi Mungu ameyafunga katika muda ama majira fulani.
Katika somo hili tunajifunza jinsi mchana ulivyo na mambo mengi mema endapo tutaelewa jinsi ya kuutumia.
Pia katika somo hili Apostle Mtalemwa anaeleza MAMBO MUHIMU MAWILI YA KUOMBA WAKATI WA MCHANA.
Fuatilia somo hili upate elimu zaidi.

Опубликовано:

 

12 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 348   
@farajimohamednganilohi7001
@farajimohamednganilohi7001 2 года назад
Namshukuru sana Roho Mtakatifu ananisaidia kukuelewa hata ukizungumza mambo mazito yeye unisaidia kuyaelewa. Na hakika nayaona matunda yake. Nakupenda sana Baba yangu wa Kiroho.
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 3 года назад
Napenda unavyo fundisha kwa umakini mkubwa thank you so much Man of God.hata mm 2018 nilisha jibiwa mchana one day nilikua mgonjwa ajabu but Mwenyezi Mungu akaniletea doctor after spending the all day in church praying. I have a testimony.
@dottomkuchu5890
@dottomkuchu5890 2 года назад
Yaani Apostle umenitoa ktk Giza Nene kumbe mchan ni mzuri Kwa maombi Mungu akutunze milele
@AgnessNyansambo
@AgnessNyansambo 4 месяца назад
Uliishanipandisha viwango Hadi nashindwa kueleza barikiwa zaidi ya sana❤❤❤😊😊😊
@georgemallya4311
@georgemallya4311 3 года назад
Katika mtumishi anayejua kufundisha neno aisee you are the best.Mungu aendelee kukuinua son of major prophet.apostle mtalemwa number one in Tanzania.
@neemamlanda5862
@neemamlanda5862 2 года назад
Asante sana mtumishi wa Mungu nimeomba na wewe mchana wa leo naomba kupitia hapa naninamini mungu atatimiza malengo yangu amina
@gracelymgimwa-jt6nw
@gracelymgimwa-jt6nw Год назад
Namshukuru Mungu an kumtukuza kwa uwepo wako Chief unafafanua neno kwa kiwangu cha juu sana,Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@iranyibutsearnaud4278
@iranyibutsearnaud4278 2 года назад
U are a real man of God 🙏 .u build me up with this word I am sure I will come back to comments on the same post with testimonies .
@jenifadaniel7752
@jenifadaniel7752 Год назад
Amina! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri na maombi
@ruthnyanza1887
@ruthnyanza1887 Год назад
Nabarikiwa Sana na mahubiri haya Mungu akuinue.mtumishi watu wajue kuishi maisha ya kumtegemea .Mungu Ame
@veronicawangari6108
@veronicawangari6108 3 года назад
Mimi si mtanzania lakini mtumishi napenda jinsi unavyofafanua maandiko katika biblia nakutazama kupitia mtandao kutoka Kenya mungu awe nawe nyakati zote amina
@happysumia8756
@happysumia8756 3 года назад
Amen Mtumishi ili Mtu akwelewe Lazima akusikilize hadi mwisho,,SOMO la Siri ya Asubuhi imebadili kabisa maisha yangu
@mrsnzilomgisha2687
@mrsnzilomgisha2687 3 года назад
Chief wa watu. Hakuna somo unalofundisha nisikuelewe.... barikiwa sana Apostle wangu. Zaidi ya yote nakushukuru kwa utabiri wa mtoto wa kiume na nikampata kweli.
@millcentsamali6793
@millcentsamali6793 2 месяца назад
Hakika huu ni ufunguo wa magumu yetu!!!mchana ni Nuruu Barikiwa mtumishi wa Mungu Mwenyenzi
@shemkaiglory6982
@shemkaiglory6982 14 дней назад
Nakukubali sana Apostle, mafundisho yako ni mazuri yamenyooka...nipo shinyanga nakufwatilia sana na ninabarikiwa
@anguraecalistus1509
@anguraecalistus1509 Год назад
Am blessed...pray for me. I need Jesus in my life. Mimi ni kafiri. Pray for me hili mungu aniokoe
@edwinonsombi
@edwinonsombi Год назад
Some nzuri barikiwa Apostle
@hopelema3893
@hopelema3893 Год назад
I wish uje kanisani kwetu naguswa sana na mafundisho yako.Mungu akutumie zaidi na zaidi
@IsakaShauri-qu4xo
@IsakaShauri-qu4xo 6 месяцев назад
Ameen nimebarikiwa sana na mafundisho Mungu akubariki sana mtumishi
@faridaeliud6360
@faridaeliud6360 Год назад
Amina mtumishi nami naami mda huu napokea kizazi kipya
@bejishful
@bejishful 3 года назад
Amen amen amen. Matatizo yote sugu maishani mwangu yameondolewa leo mchana na jua la haki linaniangazia, maadui zangu wote wamepigwa upofu kwa Jina la Yesu! Amen!!
@gracekanyanza4816
@gracekanyanza4816 2 года назад
Asante mtumishi
@johnmsiage7580
@johnmsiage7580 3 года назад
Amina ww ndie baba wa kiroho ambae unawaongoza watoto vizuli
@halimarashid3728
@halimarashid3728 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi napona na mafundisho yako
@joycejumaa7181
@joycejumaa7181 3 года назад
Asante mtumishi wa Mungu kwakunibariki na neno nashukuru kwakunifungua akili amfrom Kenya but now I am 🇸🇦nahitaji maombi Mungu tumbo yangu
@joycegesare1571
@joycegesare1571 3 года назад
Amina nimebarikiwa na hili somo nimeshukuku juu umeniponya ata yule mwanamke msinifu alikutana na yesu mchana kisimani
@mytomorrowmambo626
@mytomorrowmambo626 6 месяцев назад
Unanibariki sana kwa mafundisho,Ubarikiwe sana mtumishi
@wigomwenyeflevazake7913
@wigomwenyeflevazake7913 3 года назад
daaaaah nimekupenda breee apostle ubarikiwe sanaa una mafuzo mazuriii mnooo really touch my heart
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Год назад
Oooh yes barikiwa Sana chief unazidi nibariki mtumishi
@esthercharles2210
@esthercharles2210 3 года назад
Asante sana Chief Apostle Ufunuo mkubwa sana huu,hakika nimepata somo kubwa sana.
@sesiliasamwel5024
@sesiliasamwel5024 5 месяцев назад
Apostle ubarikiwe nimeinuka tena
@ruthkiptoo9886
@ruthkiptoo9886 2 года назад
Thanks mtalemwa for your teachings may God bless you abundantly.
@hebisibaondimu826
@hebisibaondimu826 6 месяцев назад
À with
@dominickrwehumbiza7950
@dominickrwehumbiza7950 2 года назад
Asante sana Apostle kwa mafundisho haya. hakika ili somo limenifundisha mengi na kunibariki. Mungu azidi kukuinua Apostle
@meryezekieli8640
@meryezekieli8640 5 месяцев назад
Amen mafundosho yamenisaidia kujua kuomba Kwa wakati mungu akubariki sana mtumishi
@RoseUrio-bl3dm
@RoseUrio-bl3dm 8 месяцев назад
Ameen, ubarikiwe sana...nabarikiwa na mafundisho,Mungu akubariki
@ezrantare8978
@ezrantare8978 2 года назад
Asante Apostle kwa kunipa maharifa ya kuomba maombi katika wakati sahihi na Aina ya maombi. Thanks Lord for your word given by your Servant Mutalemwa I feel blessed.
@user-mj8sl5rc7g
@user-mj8sl5rc7g 5 месяцев назад
Asante Apostle Kwa mafundisho yako nabarikiwa nikiwa Kenya. Naitwa ev.Renson
@msokelesijali7909
@msokelesijali7909 2 года назад
Mungu aendelee kukutunza mtumishi
@yudarenatus5316
@yudarenatus5316 2 года назад
Mungu akubariki Sana chief apostle mtalemwa
@magrethsimtenda926
@magrethsimtenda926 3 года назад
Amen Man of God MUNGU AKUTUNZE NAKUKUBARIKI
@lydiamkungu347
@lydiamkungu347 2 года назад
Mungu uwe pamoja nami
@neemashilangi3686
@neemashilangi3686 2 года назад
Huwa najifunza sana hapa...Mungu awatunze watumishi wake.
@monicabh1668
@monicabh1668 3 года назад
Pia mimi niko na ushuhuda mtumishi 🙏🙏.Baada ya kusikiliza mafundisho ya misukule part 1&2 huo wakati nilikuwa naumwa na miguu na mikono takribani week mbili.Hali ile ilinisumbua sana juu sikuwa na fanya kazi nzito sasa shida sijui ilikuwa wapi.Wakati wa mchana baada ya maombi nililala na nikiwa usingizi nilihisi upepo unanivivia sehemu ya miguu na mikono kuamka maumivu niliyokuwa nahisi hayakuwepo 🙏🙏🙏 .Hapo nilipokea uponyaji wakati wa mchana 🙏 kwa hakika Mungu ni mwema.Mafundisho yako yananiinua sana na Mungu azidi kukuinua katika viwango vya juu zaidi tuweze kufahamu zaidi be blessed The Man of God🔥🔥🔥
@annajoseph425
@annajoseph425 3 года назад
Asante Apostle kwani baada y kusikiliza mafundisho haya mchana wa leo kuna jambo Mungu amenitendea maishani mwangu
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Год назад
Asante sana man of God,am akenyan listening from Arabs countries..mimi nimuombezi nimejifunza kitu kutoka kwako
@episonfelician7670
@episonfelician7670 3 года назад
Mtumishi Apostle Nabarikiwa Sana na Mafundisho yako Maana umenitoa mbali Sana Nakufatilia Kwa kuushika ujumbe wako Mungu akupe kipawa zaidi Katika huduma yako Man of God
@marymwatsuma8137
@marymwatsuma8137 3 года назад
Amen amen nmebarikiwa Sana asante mtumishi kwa muongozo
@joelsagide9607
@joelsagide9607 Год назад
Asante opostole mutalemwa, mimi nilikua nimechoka na maisha kabisa lakini vile umenifundisha neno nimeamini kweli naitaji nafasi nyingine.
@monicalaizer7596
@monicalaizer7596 Год назад
Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@lylyekalendi2524
@lylyekalendi2524 Год назад
Mimi ni congolaise , nakufataka sana , na nafurahisha na somo ginsi ya kuomba mchana , kumbe tunaomba mubaya njo maana hatujibiwe, nimefunjwa sasa Mungu akujaje tafsiri mtumishi wa Mungu amen
@harriethkinjoli5459
@harriethkinjoli5459 2 года назад
Mungu akubariki Apostle kwa mafundisho mazuri
@alicekalemela7435
@alicekalemela7435 3 года назад
Apostle kwa kweli mda hautoshi, nimekuelewa vizuri, Asante Sana kwa mafunuo
@zainabukimaro5240
@zainabukimaro5240 3 года назад
Asante yesu kunikutanisha na mtumishi huyu
@stellafety4332
@stellafety4332 3 года назад
Amennn mungu mubariki mchungaji Wako asante nashukuru kwa neno soit béni
@marywafula2858
@marywafula2858 2 года назад
Ooh yess nimekuelewa Mtumishi heee Barikiwa saana
@annekangaikathuni9523
@annekangaikathuni9523 3 года назад
...hakika mtumishi...waaa hufahamu wa juu zaidi...Mungu apewe sifa milele...nime barikiwa hekima ilioje waaaa.!!!!📢📢📢📢💯
@rithalukas4263
@rithalukas4263 3 года назад
hakika huu ni Ujumbe wangu kutoka Kwa Roho Mt. Yesu Asante
@salomemahenge209
@salomemahenge209 3 года назад
Asante Yesu niko nasikiliza somo hili mchana huu napokea majibu yangu
@basmartmapinda9321
@basmartmapinda9321 2 года назад
Umebibariki Sana kwa neno la Mungu
@dieterfenn6773
@dieterfenn6773 3 года назад
Amen napokea majibu kutoka kwa Mungu Asante mungu kwa uzima wangu na Baraka
@angelkanoga2175
@angelkanoga2175 3 года назад
Asante Mtumishi neno nimelielewa yan nilikuwa sijui masaa ya kuomba nilikuwa najiombea tu lakin sasa Mungu ananifundisha kupitia Mtumishi.
@judithabuko6006
@judithabuko6006 3 года назад
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa hekima na ufafanuzi mazuri kwa masomo yako naomba namba ya simu ju niko Saudi Arabia na naomba usaidizi wako kwa maisha yangu kumbe niko nyumba kabisa naitaji kufundishwa
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 3 года назад
Napokea kwa jina la yesu amen
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Год назад
Ubarikiwe Sana mchg mutalemwa,nipo nakusikiiliza asubuh ya tareh24)5)23 mme wangu ametekwa na mwanamke aliepewa taraka na mmewe,niombee nipo bukoba ,
@andrewgithaiga9956
@andrewgithaiga9956 2 года назад
MUNGU AKUBARIKI MTUMISHI I `VE LEARNT ALOT
@eustacelubazibwa3101
@eustacelubazibwa3101 Год назад
Hongera mtumishi..mungu awe nawe daima
@barikimatabishi3544
@barikimatabishi3544 2 года назад
Mafundisho matamu.Courage Baba....
@TunaelMhema
@TunaelMhema 3 месяца назад
Asante
@faridaelias7137
@faridaelias7137 3 года назад
Ameeeeen mafundisho makali sana..Mungu akutunze mtumishi wake
@clairemuchai623
@clairemuchai623 2 года назад
Aimen mtumishi Mungu akubariki
@bishopalinanusweabisai899
@bishopalinanusweabisai899 3 года назад
God bless chief ni SoMo mhimu Sana ninaona mafanikio ya maombi ya muda nimekuelewa Sana
@rachaelmkunda2742
@rachaelmkunda2742 3 года назад
Asante Yesu kwa kunikutanisha na huyu apostle amenifingua Amina
@lucylunani505
@lucylunani505 3 года назад
Asantee akii mutumishii umeniguzaa, inaendana tu naa ndotoo chafu Sana bt hii maubiri ishawachoma
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 2 года назад
Shetani alikuwa ananizuia kusikia hii kila siku nasema nitasikiliza niandike lakini Leo nimefanikiwa kusikia Kama mungu alivyonisaidia nguvu za gizaa wasubiri nikipata muda mchana ndo muda wakuwakomesha ufunuo wa Hali ya juu huu mungu akuinue apostle mtalemwa
@pastorabellukumay6592
@pastorabellukumay6592 3 года назад
Asante Yesu maana unaraise standard yangu ya Maombi
@lulungunda354
@lulungunda354 Год назад
Asante sana mtumishi ,nimeelewa maombi haya vizuri,
@eunicemarugu3595
@eunicemarugu3595 2 года назад
Ndugu zangu ninashuhuda kwa somo hili jana trh 11 mwezi 11 mwaka huu nilikuwa nikifuata somo hili nikiwadukani kwangu afu hari haikuwa nzuri kwa upande wangu ghafra nikapitiwa na usingizi huku simu ikiwa hewani nikamwona apostle kaja dukani kwangu akamhudumia mteja baada ya dakika chache nikashituka kutoka usingizini mda haukupita akaja mteja akanunua bidhaa ileile nilio ona apostle akiuza hovyo namushukulu sana Mungu kupitia mtumishi wake Mungu akamtumie kwa viwango vya juu zaidi
@deogratiusdongwe6719
@deogratiusdongwe6719 10 месяцев назад
Wonderful nimeongeza kitu 🙏🙏🙏
@Msovelo9017
@Msovelo9017 2 года назад
Asante sana apostle
@officialjemimahowiti
@officialjemimahowiti 2 года назад
God bless and increase more knowledge in you to save the children of God
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 Год назад
Amen Mtumishi wa Mungu, nami napokea majibu yangu leo, ubarikiwe sana kwa kunipa kitu kipya ndani yangu Mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi ufanyike kuwa msaada kwa watoto wa Mungu Amen.
@eveanangisye1999
@eveanangisye1999 3 года назад
Eeeh Yesu Kristo naomba neema hii niliyoipata isipite bure kwenye maisha yangu niliishi neno lako na kusikiliza mahusiya yako kutoka kwa wateule wako......Amen barikiwa Apostle Mtalemwa.
@nizselyluka2096
@nizselyluka2096 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi
@kapologweeve442
@kapologweeve442 3 года назад
Amen. Nimebarikiwa sana. Mchana
@sussynasimiyu8467
@sussynasimiyu8467 3 года назад
Amen Amen Amen mungu wa mbinguni akawabariki mtumishi Asante kwa neno la mungu
@kavuthalinah514
@kavuthalinah514 3 года назад
This has helped me to raise my standard of prayer. nagoja ni jue vile nafaa kuomba njioni na usiku.
@lazarodoma6666
@lazarodoma6666 2 года назад
Nimebarikiwa Sana appostle kwa mafundisho yako Mungu azidi kunitumia zaidi 👏👏
@witnekidoti6160
@witnekidoti6160 3 года назад
Asante sana Mungu kwa mtumishi wako,,,,,,,kila nikisikiliza mafundisho yako yanafanyika uponyaji kwenye maisha yangu Mungu azidi kukuinua man of God
@felestinekwamboka2873
@felestinekwamboka2873 3 года назад
I have learnt alot from you may God bless you abundantly
@anipherchaula4877
@anipherchaula4877 3 года назад
Mungu akubariki mtumishiwa wa BWANA kwa mafundiaho mazuri mafundiaho yako noapya kila siji ubarikiwe Sana.
@annsialo1447
@annsialo1447 3 года назад
Amen hakika wewe ni mwalimu alie miminiwa Mafuta toka kwake Bwana hekima ulionayo sio ya elimu Bwana Mungu azidi kukutumia hata kwa mataifa mengi God bless you
@DianaMwakibibi
@DianaMwakibibi Месяц назад
Nimebarikiwa sana
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 года назад
haki huyu apostle anajua kusaka bibilia
@bettymwanuke1424
@bettymwanuke1424 3 года назад
Barikiwa sana appostle
@jessymoyo4836
@jessymoyo4836 2 года назад
Sikuwai kujua kama jua linamaana kubwa sana katika ulimwengu wa Roho.leo nimehukumu wabaya wangu na Mungu nimemuona
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 2 года назад
somo zuri sana la maarifa
@graceoisso3238
@graceoisso3238 3 года назад
Ubarikiwe na Bwana YESU, Apostle, nimepata maarifa mapya.
@josephmutalemwa1461
@josephmutalemwa1461 3 года назад
Hallelujah hallelujah praise be to God
@mbokaandbahatitv8509
@mbokaandbahatitv8509 2 года назад
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu. Asante sana kwa somo hili, hakika umetutendea haki
@nastervellarweyemamu6641
@nastervellarweyemamu6641 2 года назад
Amen....nimebarikiwa Sana na somo hili Mtumishi...Mungu wa mbinguni akutunze
@violetmonyo578
@violetmonyo578 3 года назад
Amen! nabarikiwa sana na mafundisho yako Apostle Mungu azidi kukuinua zaidi.
@doreennkya5524
@doreennkya5524 2 года назад
Mungu anipe uwezo na Nguvu za kupambana na maadui zangu
@robertmwaipaya3738
@robertmwaipaya3738 3 года назад
Ubarikiwe sana ndgu
Далее
KANUNI SAHIHI ZA MAOMBI(principles of prayers)
49:29
Просмотров 86 тыс.
JINSI YA KUMTAMBUA ADUI YAKO
36:45
Просмотров 16 тыс.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 19 тыс.
ISHI KWA MAKINI SANA NA WATU WA NAMNA HII
50:50
Просмотров 275 тыс.
JINSI YA KUWAOMBEA WATOTO WAKO(Mzazi ni Nabii wa Mtoto)
1:36:47
MAOMBI YA SHUKURANI by Innocent Morris
59:26
Просмотров 47 тыс.
KUNA SIRI KUBWA KATIKA ARDHI/UDONGO.
54:29
Просмотров 227 тыс.
MJUE ADUI YAKO
37:21
Просмотров 52 тыс.