mtumishi hata sisi wenyi kuwa nchii za wa zungu tunazo shida nyingi za wachawi wanatufatilia ata uku, utaona mtu anashikaka pesa lakini hakuna lolote zinamufaliya na hawezi pata ata kiwanja back home tunaomba musasaidie kwa maombi specialy me i need help pray for me please my name is sifa i am leaving in canada thank you.
Bwana yesu kristo asifiwe.Mimi naishi Burundi mkoa wa Bujumbura,yeyote atakae iona message yangu hii anisaidie kuiagiza mpaka imfikie mchungaji ili aweze kunisaidia kwamaombi na Mungu atawalipa nyote Mutakao fanya zoezi hilo Ameen
Barikiwa mtumishii wa mungu bt naomba maombi ju mwanangu yuko na shida yakuongea na yuko na miaka 6 na sio ni bubu hapana yaani kuna kizuizi chenye kimemfunga.
Hii Africa hasa wanawake kanisani wanauthuria ila nyumba ya pazia wanafanya ushirikina mifano ninayo nimeona Hadi najiuliza kweli tutafika Asante kwa kuongea ukweli Wala usione aibu nikuongea ukweli nibora ubaki na waumini 2 wanomjua mungu kuliko wanafi wengi.
ASANTE.YESU KUMUONA. NABII WAKO ELF 2014 ALINISAIDIA ILIKUWA MWEZI WA SITA MWSHONI WA TAREHE30 NILIKUWANA UJAUZITO NA NIKAPATA SHD YA DAMU ILIKUWA NI DAM 6 ALITENGUA NIKAJIFUNGUA SALAM TAREHE MOJA MWEZI 7 Munguakutuze pamoja na Huduma yako mke wako na watoto wako uko wapi? kwasasa naomba namba ya sadaka