Тёмный

Jinsi ya kupata Melodies nzuri za Beat kupitia Fl Studio 

Richstar
Подписаться 50 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Jinsi ya kupata Melodies nzuri za Beat kupitia Fl Studio
Nimejaribu kuuelezea Mbinu tofauti tofauti ninazozitumia mimi kupata melidies nzuri pindi nitengenezapo beat

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@EREVUKATV
@EREVUKATV 4 года назад
Naqubali sana Buddy Richboy unanisogeza sana
@aspaslove113
@aspaslove113 5 лет назад
Good guy Rich greetings from Kigali
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 6 лет назад
yah napenda kaz hiz me pia niko vizuri Sana kwenye hii sectors!!
@safarinjemadav5558
@safarinjemadav5558 3 года назад
Nakukubali bro ang nimepata zaidi ya mafunzo
@safarinjemadav5558
@safarinjemadav5558 3 года назад
Ila ninatak kujifunza zaidi hii so unaweza kunisaidiaje broo
@Richstartz
@Richstartz 3 года назад
Asante sama
@mutaboy897
@mutaboy897 4 года назад
Am beginner so napenda sana kazi zako bro hii video naiangalia kila siku
@twalibuamir5544
@twalibuamir5544 6 лет назад
Una deserve tuzo ya heshima. Kila nikifuatilia tutorials zako matumaini yangu ya kuwa mtayarishaji wa muziki yanaamka na kuongezeka, Mungu akubariki na akusimamie.
@opinaisnyongo8081
@opinaisnyongo8081 3 года назад
🙏🙏
@amaninyambulapi3650
@amaninyambulapi3650 6 лет назад
somo zuri saana!
@Mellanke
@Mellanke 4 года назад
GREAT CHECKING FROM KENYA
@producerswedy1578
@producerswedy1578 6 лет назад
Huwezi amini Rich now dayz nimekuwa natafutwa kucompose beat daah very respect sana
@lipambasalumu8550
@lipambasalumu8550 6 лет назад
Mzee naomba msaada wa plugin za vinanda mkuu
@FredyMgaya-dh8fl
@FredyMgaya-dh8fl Год назад
Kaka habar
@flaviankiwelo7185
@flaviankiwelo7185 6 лет назад
gud gud rich star
@amosyluhasi2413
@amosyluhasi2413 6 лет назад
Nakukubali Mr
@binambinam9958
@binambinam9958 6 лет назад
Ukovizur ila kumbuka hufundish wanao juatu make wengine Idear tunayo sasa pale tunatakuelewa unaenda less bab unatukosea...🙏
@iamrobby4620
@iamrobby4620 6 лет назад
broo mungu akubariki sana umenitoa kwenye zero mpaka hero saivi namiliki hela kwa kupitia tutorials zako ipo siku ntakulipa juu ya hichi kaka angu ilove una naamini iposiku tutakutana stay waiting for meeting
@martingodwin9580
@martingodwin9580 4 года назад
UKO VIZURI SANA BROO
@wilsonedward9508
@wilsonedward9508 5 лет назад
msaada kwan kudownload hii fl ni lazima ulipie
@kasukahabari327
@kasukahabari327 6 лет назад
oyooo ahsante sana rich leo umenifugua sana
@kasukahabari327
@kasukahabari327 6 лет назад
nimesha subscribe zaman sana vitu vyako ni kunyanyua wasiojiweza
@sadimasudi709
@sadimasudi709 6 лет назад
kaka rich naomba namba zako mana we MTU muhimu sana saaaana
@sadimasudi709
@sadimasudi709 6 лет назад
kaka rich naomba nipate namba yako tuongee zaidi napenda sana hii kitu nijue 0623976411 nibipu kwenye namba hii kaka plz
@MarashiOG
@MarashiOG 6 лет назад
Richstar nakutafuta broo
@farmdezo381
@farmdezo381 6 лет назад
uko wapi kk 0656969698 nicall
@VidiSephania-m8b
@VidiSephania-m8b Год назад
Mm nataka fl studio ya kwenye simu ila na shindwa jinsi ya kudanlood naomba nifunze
@Richstartz
@Richstartz Год назад
Hio app ni ya kulipia lazima uilipie kuipata
@AfricanAlphaBeats
@AfricanAlphaBeats 6 лет назад
hakuna mtu anaeweza kukulipa wala kushukuru ikafanana na unachokifanya kwa niaba ya watu wengi saaaaana.....we nisababu ya mafanikio ya watu wengi sanaaaaa bro
@binebitznyotabitz1450
@binebitznyotabitz1450 6 лет назад
Amini ndugu masomo yako ni mkomboz wa ndoto yngu naamini cku moja ntafika hapo ulipo
@jallymsemwa
@jallymsemwa 6 лет назад
fanya tutorial nyingi zaidi ukibase katika hii aspect ya melodies and chords
@FredyMgaya-dh8fl
@FredyMgaya-dh8fl Год назад
Nashida na namber yako ya cm ili tuwasiliane nahitaji kujua zaidi kutumia FL studio maana napenda kutengeneza mziki
@fedinatimotheo6707
@fedinatimotheo6707 6 лет назад
plz help your contact rich me nimuimbaj wa nyimbo za injir nahitaj kutimiza ndoto zangu
@EDWARDMPINA-ce8hg
@EDWARDMPINA-ce8hg 5 месяцев назад
Sf
@amosyluhasi2413
@amosyluhasi2413 6 лет назад
Toa maelezo ya kutengeneza sebene
@atanazmichael818
@atanazmichael818 6 лет назад
Nzuri mimi nataka kujua jinsi ya kupiga base hasa katika beat za afro pop
@chellakajipe7835
@chellakajipe7835 Год назад
Bro jinsi ya kupata hii app nisaidie bro nakuomb
@phillcolinsoscar8631
@phillcolinsoscar8631 6 лет назад
Bro samahan mm nafuatilia sana hz tutorial zako ila nashindwa jinsi gani ya kudownload vifaa through internet.... So unaweza ukanielekeza au ukanitumia some of the instruments plz
@phillcolinsoscar8631
@phillcolinsoscar8631 6 лет назад
How then.... Nilijaribu ila nikashindwa naomba msaada au kwa mawasiliano zaidi naomba namba yako Bro.
@jedysen4349
@jedysen4349 4 года назад
Hii ni fl ya ngapi 12?
@jedysen4349
@jedysen4349 4 года назад
Richstar inaonekana fofauti na ya sasa
@paschaljayunga257
@paschaljayunga257 5 лет назад
Uko vizuri sana lakini ninaomba kama itawezekana nipate tutorial inayofundisha kupanga key Aina mbalimbali katika FL maana asilimia kubwa naona tu natumia key c tu kama itawezekana naomba unichek whatsap 0745262820
@venisiuslyombo6738
@venisiuslyombo6738 6 лет назад
kaka naeza pata namba zako
@praisekavy
@praisekavy 6 лет назад
we jamaa kama una studio niambie nije kurekodi fastaaaa au namba ya simu nidondoshee hapa serious
@allykamila3445
@allykamila3445 6 лет назад
Kaka nimedowload plugins zimekuja kama microsoft word file, naomba unisaidie kaka yangu
@totocite8945
@totocite8945 4 года назад
tumia winrar
@chandadascout39
@chandadascout39 5 лет назад
bro me nakukubar sana na nataman san kua mam wewe yan kma hutojali kaka 0767510262 ncheki watsapp
Далее
How to make Sweet Reggae Beat on Fl Studio
25:46
Просмотров 6 тыс.
How would you react?!😳
00:44
Просмотров 6 млн
Fl Studio: Jinsi ya Kupiga Vinanda ktk FL Studio
19:43