Ndugu, Unatufunza mambo muhimu sana. Nakuombea uzidi kuendelea vivyo hivyo na mwenyezi Mungu azidi kukupa ujuzi zaidi maana unasaidia watu wengi sana kwa mafunzo yako mazuri. Mimi ni mkenya jina langu ni Dickson na tunaomba uweze kutengeza tutorial ambayo itatuonesha jinsi unaweza tengeza kama movie ile ya majini au kwa mfano picha ya mtu inaonekana alafu inapotea ghafla yaani kwa ule mfumo wa jini. Asante na ubarikiwe.