Assalam aleykum habibty, shukran saana kwa saada wako, mm ningependa kujua hizi unaweza kuzitia ndani ya frezer kabla ya kukaanga??? Yaani uzitayarishe but uje kukaanga siku nyengine
Shukran sana 🙏 video nzuri maa shaa allah kuna kitu sijaelewa vzr naomba niulize ,Baada ya kuchovya hizo chicken finger kwenye mayai umesema umeziweka kwenye tambi kabla ya kuzichoma, je tunatakiwa kusaga tambi za kawaida au ni tambi gani unazotumia hapa (sijawahi ona tambi za unga )?
Mashallah mashallah lup u habibty😍😍😍😍😍na. Ninajitahid kukutafutia subscribers vil nnavokupend natak ndan yamwak huu ufikishe watu laki moja nazaid Inshaaaaaallaah👐👐👐👐🤗
@@indiaclipssongs5735 skiliza vizuri maelezo mwanzo kabisa nimesema nimechanganya tambi na breadcrumbs. Kwaiyo mapendekezo ni yaki kiweka tambi tupu ama breadcrumbs ama vyote