Тёмный

JINSI YA KUPIKA MBOGA ZA MAJANI/SPINACH 

MAPISHI FOOD LIFE
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 3,1 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@NeemaaWawa
@NeemaaWawa 12 дней назад
Mm ni neema nimependa mapishi ya spinach
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 дней назад
karibu sana
@leokadiamandembo2130
@leokadiamandembo2130 16 дней назад
na lea natokea moro nimejifuza nilikua cjui kupika spinach
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 дней назад
karibu sana
@elizabethmduma1453
@elizabethmduma1453 Месяц назад
Mm ninapenda sana vitunguu swaumu, ss nilikuwa ninauliza jee, ktk pishi hilii la
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana
@elizabethmduma1453
@elizabethmduma1453 Месяц назад
Mimi Eliza nimependa sana mapishi yenu na tunashukuru kutuelekeza, kwa sababu kuna msemo usemao, MCHELE NI MMOJA LAKINI MAPISHI NI MENGI, mbarikiwe
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana
@Juma-v8u
@Juma-v8u Месяц назад
Naitwa juma kutoka mombasa napenda kujifunza mapishi style mpya kando na upishi wa kawaida kama vile umetumia nazi na sikujuwa kama hutumika kwa spinach,nimependezewa sana
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 29 дней назад
karibu sana kipenzi
@rukiangemera3106
@rukiangemera3106 2 месяца назад
Naitwa Rukia. Nimependa Sana pishi laki asante.
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 2 месяца назад
karibu sana
@SaraMasereno
@SaraMasereno Месяц назад
Fadhila kutoka mbezi
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana
@elizabethmduma1453
@elizabethmduma1453 Месяц назад
Mimi ninaitwa Eliza, nipo Mabibo
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana kipenzi
@SamraHamad
@SamraHamad Месяц назад
Mm samra kutoka Pemba
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana
@elizabethmduma1453
@elizabethmduma1453 Месяц назад
Mm ninapenda sana vitunguu swaumu, ss nilikuwa ninauliza jee ktk pishi hilii la spinach ninaweza kuweka?
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
karibu sana
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife Месяц назад
sio lazima kutumia kitungu swaumu lakini kama unapenda unaweza tumia illi upate harufu yake, kumbuka kitungu swaumu kinalainisha mboga fast hivyo anza kukiaanga kwanza na weka viungo vingine harafu mboga ziwe za mwisho, kama ni mboga za majani pekee lakini kama ni nyama kawaida tu unaweza tumia
@tausiselfself6461
@tausiselfself6461 2 месяца назад
Fatma nipo oman
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 2 месяца назад
karibu sana
@Mwa602
@Mwa602 10 месяцев назад
Ian mwangi kutoka nakuru Kenya 🇰🇪🇰🇪
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
karibu sana
@JudyWachira-x7x
@JudyWachira-x7x 9 месяцев назад
Judy Wamuyu from Nakuru
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 9 месяцев назад
karibu sana
@jumadaud3117
@jumadaud3117 2 месяца назад
Niko moshi, na mimi napikaga ivi ivi
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 2 месяца назад
karibu sana
@IshakaIssa-h4w
@IshakaIssa-h4w 8 месяцев назад
Thanks for giving knowlage
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 месяцев назад
your welcome
@esterboniphace7076
@esterboniphace7076 10 месяцев назад
Kutoka geita nimewafatilia kwa uzuri nawapenda bure mm ni dada Esther
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
karibu sana
@esterboniphace7076
@esterboniphace7076 10 месяцев назад
Aya jaman nawapenda
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo 10 месяцев назад
Mapishi ya nyota tano
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
karibu sana
@AnnastaziaFrancis
@AnnastaziaFrancis 8 месяцев назад
Anna kutoka mwanza nimependa
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 месяцев назад
karibu sana
@IshakaIssa-h4w
@IshakaIssa-h4w 8 месяцев назад
Thanks 👍
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 месяцев назад
Welcome 👍
@MonicaMwinuka-j5v
@MonicaMwinuka-j5v 8 месяцев назад
Monica yombo vituka safi sana
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 8 месяцев назад
karibu sana
@esterboniphace7076
@esterboniphace7076 10 месяцев назад
Upishi wenu ni rahisi Sana hasa upatikanaji wa viungo ambavyo kila mtu anaweza kuvipata lakini pia chakula kinakua kizuri na kitamu😊
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
karibu sana pia asante kwa kuliona hilo
@esterboniphace7076
@esterboniphace7076 10 месяцев назад
💪pia una sauti ya mvuto kwangu,hautumii muda mrefu Sana ktk mapishi uko straight to point,una upishi shirikishi unauliza sisi tunapikaje kiukwel huna ubinafsi mm nawapenda kila nikipika pishi lenu nyumban kila mtu anafurahia chakula changu, Asanteni sana ndiyo maana nakufatilieni
@esterboniphace7076
@esterboniphace7076 10 месяцев назад
Kwani ninyi mnapatikana wapi?I mean mahali mlipo
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
asante sana kwa kutufatialia, tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 10 месяцев назад
tupo Tanzania
@williamcyprian3648
@williamcyprian3648 9 месяцев назад
US
@mapishifoodlife
@mapishifoodlife 9 месяцев назад
karibu sana
Далее
# Rural Funny Life Wang Ge
00:18
Просмотров 774 тыс.