Тёмный

JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA SAMAKI KWA NJIA RAHISI TENA TAMU 

Queenbibisha
Подписаться 22 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Maitaji:samaki za kukaanga, tomato 🍅, sauce tomato, vitunguu maji, kangawizi, kitunguu swaumu, garam masala, lemon juice, pilipili mbuzi, mafuta, chunvi

Развлечения

Опубликовано:

 

24 мар 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@farihiamass8739
@farihiamass8739 4 года назад
Tafadhal tumia mwko
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 4 года назад
Ushauri kwako tumia mwiko haukwangui rangi ya sufulia hicho kijiko unachokwangulia sufulia kwa kugeuza vitunguu elewa kuwa hizo rangi zinazobanduka zinaingia kwenye chakula ndio canser zakujitafutia zinavyoanza kupitia chakula bora kama sufulia yako haijapakwa rangi ndani. Asante kwa mboga nzuri nimependa
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 4 года назад
Nashukuru kwa ushauri
@getrudenovack4107
@getrudenovack4107 4 года назад
Ongea vnzr so tomero
@marrymosha3618
@marrymosha3618 3 года назад
🤣🤣🤣tomero new Swahili in town
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Год назад
Hongera sana mwaya...nimejifunza
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 Год назад
Asante sana
@haithamhassan3737
@haithamhassan3737 5 лет назад
😋😋😋
@sabrinasalum4387
@sabrinasalum4387 4 года назад
Tamu udenda
@LifestylewithLyne
@LifestylewithLyne 5 лет назад
Samaki huyo na wali pembeni 😋😋😋😋😋😋
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 лет назад
Hapo sasa 😂😂🙏🙏 Asante dear
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 года назад
Haha lyne ehee halafu anapika kama mimi
@kekeliams7489
@kekeliams7489 5 лет назад
I love your cooking but I dnt understand a word,,I figured you probably said you could eat it with ugali or rice.. could you please kindly suggest what type of rice is best I.e Jasmine rice,basmati it would really help Thanks
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 лет назад
Thank a lot for loving what I doing, anyway the best rice I use is jasmine
@stellaalex9670
@stellaalex9670 2 года назад
Camer yak huituliz hatuon vizr
@neemashabani1589
@neemashabani1589 2 года назад
Jaribu kutumia mwiko wakat wakupika ...tafuta mzik mzur unao endana na kupika cy mzik wa club ....
@elinamwinuka8912
@elinamwinuka8912 5 лет назад
Jamani sisi watu wa Tanga tukiona hao samaki njaa tayari lol!
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 лет назад
Pole mwaya
@abdulyiddy358
@abdulyiddy358 5 лет назад
It seems to be so delicious.. Congrats sister💕
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 5 лет назад
Thank you my brother
@bilimmanga6156
@bilimmanga6156 4 года назад
Tomero alafu unaisema kiswahili sana borauseme tu nyanya
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 4 года назад
Sawa
@libinalukumai
@libinalukumai 3 года назад
Wat is tomero?🙄🙄
@shufaajuma3147
@shufaajuma3147 3 года назад
Mbaya hiyo
@roseshirima3815
@roseshirima3815 4 года назад
unaongea vbya ...mizik ya kaz gn inshort channel hain mvuto
@queenbibisha1961
@queenbibisha1961 4 года назад
In short aujalikwa
@unqmimi6528
@unqmimi6528 4 года назад
😂😂😂
@magrethdonath5528
@magrethdonath5528 3 года назад
kabsaa😀😀😀
@angelpritchard9399
@angelpritchard9399 3 года назад
Embu usiwe unaweka miziki nasaut ongeza hatukuskii unachosema kwanza una pikia kijiko loh
@fatmanagwa4148
@fatmanagwa4148 3 года назад
Naona hajui madhara ya kijiko, ameona wapi mtu akatumia kijiko kukorogea mchuzi,au wali
Далее
KUPIKA SAMAKI//BAMIA &NYANYACHUNGU NA UGALI TAMU SANA
8:03
меня не было 9 дней
12:48
Просмотров 1,4 млн
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
PIKA MAINI YAKO HIVI UTAPENDA⁉️MAINI MATAMU SANA
3:22
VIUNGO VYA KUPIKIA / MAPISHI
10:37
Просмотров 76 тыс.
Будет весело…
1:01
Просмотров 7 млн