Тёмный

JINSI YA KUPIKA MKATE WA NYAMA RAHISI SANA(VERY SIMPLE, EXPRESS AND MOUTHWATERING MEAT CAKE ) 

farwat's kitchen
Подписаться 124 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@shammoha5297
@shammoha5297 5 лет назад
MashaAllah. Yummy 😋 Shukran 😘👍🏼
@hazinayawa1830
@hazinayawa1830 3 года назад
i realy like your cooking
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
Thank you 😊
@ashaabdi1767
@ashaabdi1767 5 лет назад
Will definately try this one out Farwa.Thanks
@mohamadmashor2337
@mohamadmashor2337 4 года назад
salam from malaysia...wow this is nice...can I know what language that you're used??thank you...
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Thank you The language is swahili
@mohamadmashor2337
@mohamadmashor2337 4 года назад
wow...that's nice...hi from malaysia...
@rukiyamwinyi5195
@rukiyamwinyi5195 3 года назад
kitchen shukran
@rayaali7551
@rayaali7551 4 года назад
Ni nzuri sanaa ilaaa kutumiaa tray ni bora zaidi kuliko sufuriaa kwanii inatakiwa mkatee utawanyikee na ndipo unapowezaa kuukata vizuri
@fatmehfaraj5188
@fatmehfaraj5188 3 года назад
Maisha Allah habibty. ❤
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
🥰🥰🥰
@rugeyeawadh7426
@rugeyeawadh7426 4 года назад
Mashallah
@mansourbabaa466
@mansourbabaa466 4 года назад
Nimejarb mzr sana mashllh
@suheylahomar6542
@suheylahomar6542 2 года назад
Wow.. yummy 👍
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 2 года назад
❤❤❤
@razzjalaldin6106
@razzjalaldin6106 4 года назад
Nice MashaAllah pkease tuandikie recipe dear. Shukran
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
❤❤❤
@foosomaromar3036
@foosomaromar3036 4 года назад
Masha Allah
@razzjalaldin6106
@razzjalaldin6106 4 года назад
My dear mtu anaweza tia dania kupambia na cheese au?
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Ndiyo unaweza ukatia, cheese pia nadhani japo mimi sijawahi kujaribu
@zainabadim8540
@zainabadim8540 4 года назад
💕💕💕💕💕 yummy
@ummualyaan5058
@ummualyaan5058 2 года назад
Assalam aleikum nauliza waeza tumia ile dizyn ya nyama ya sambusa ile ya kusaga mwenyewe ile juzi ulipost
@ummualyaan5058
@ummualyaan5058 2 года назад
@@farwatskitchen13 shukraan i wil leo in shaa Allah
@fatmamamlo7453
@fatmamamlo7453 4 года назад
Hayo matunguuu ukiyakaanga kidod ilikupat rangi ya brawn halaf ukachangany nahivo viungo vipi haifai maana sisi wengine hatuviwexi vitunguu vibichi hivo
@jovinewegoro4368
@jovinewegoro4368 Год назад
Je unaweza kula Kama chakula au Kwa kunywea chai?
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 10 месяцев назад
Vyovyote upendavyo……lakini inapendeza zaidi kunywea chai au chakula cha ziada kando na main dish
@princesswapwani5495
@princesswapwani5495 5 лет назад
Ajjabest mashaallah yummmmmmy
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 5 лет назад
😋😋😋
@reginasumi2575
@reginasumi2575 2 года назад
Yummy 😘
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 2 года назад
❤❤❤
@habibajazz7747
@habibajazz7747 Год назад
Moto ni juu na shini ?? Ama juu peke yake?
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 Год назад
Juu na chini
@sihamjuma6734
@sihamjuma6734 4 года назад
Nimejarib upo powa shkrn
@hassankassim8078
@hassankassim8078 5 лет назад
😋😋😋mpango mzima
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 5 лет назад
Au sio😅
@hadijahashim4418
@hadijahashim4418 4 года назад
Ukiwa unatumia jiko LA mkaa je hapo kwenye kuoka ni vipi farwat
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
Unaoka kwa mkaa kawaida haina shida
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Oka kwa makaa ya juu na chini
@zalkhsule2617
@zalkhsule2617 4 года назад
Asant
@HafidhaJuma-cy4uv
@HafidhaJuma-cy4uv Год назад
Habari za mda huu chakula chako ni kizuri ila nahitaji namba yako
@mariamissaahmed7675
@mariamissaahmed7675 4 года назад
It will make a good dinner Thank you
@fatumasalimu9397
@fatumasalimu9397 3 года назад
Kama sina oven siwezi pika kwa mkaa
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
Unaweza
@aminamohamed3916
@aminamohamed3916 3 года назад
Salàm alekum mashallaah
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
Waalaikum salam Shukran
@teamkhans9780
@teamkhans9780 5 лет назад
👅👅👅 sijui niingie kwa simu keep its farwat nice work
@khalidsaid2993
@khalidsaid2993 4 года назад
😋
@fadhilingogota3581
@fadhilingogota3581 4 года назад
Nyama Yakima??🤔
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Keema inamaanisha nyama ya kusaga
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
Inaonekana si mtu wa jikoni hahaha ndio nyama ya kima mbona maarufu sana maana yake nyama ya kusaga.
@hamidagulam3558
@hamidagulam3558 4 года назад
Maji ya ndimu kiasi gani?
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Vijiko viwili vya mezani
@masikaali6052
@masikaali6052 4 года назад
Huwezi kutoa ukiwa mzima mpaka uukate huu mkate wa nyama nataka kumpelekea mtu
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Unaweza ukautoa ukiwa mzima, hakikisha tu sufuria yako unaipaka mafuta vizuri
@saidasalim8499
@saidasalim8499 Год назад
Aa nakama kima robo mayai itakuwa tatu sioo
@mtumwamussa3260
@mtumwamussa3260 3 года назад
Nataka maelezo
@fatumasalimu9397
@fatumasalimu9397 3 года назад
Kwa mkaa nikipika itatokea
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
Ndiyo
@alikhamees3342
@alikhamees3342 4 года назад
Ni lazima nyama ya kimya
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 4 года назад
Ndio lazima nyama ya kima, yaani nyama ya kusaga
@saummussa280
@saummussa280 5 лет назад
nyama ya kima?
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 5 лет назад
Keema inamaanisha nyama ya kusaga
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
Ndio ntama ya kima ni nyama ya kusaga
@humudimbonde1632
@humudimbonde1632 3 года назад
Jamani kumbe kima analiwa
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 3 года назад
Ni nyama ya kusaga kizungu inaitwa keema
@rahmajumaan6819
@rahmajumaan6819 10 месяцев назад
Mince meat
@rahmajumaan6819
@rahmajumaan6819 10 месяцев назад
Nilikua natafuta hii recipe long thank you will try it
@morogorodoll397
@morogorodoll397 5 лет назад
Lima analiwa🙉
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 5 лет назад
Keema inamaanisha nyama ya kusaga😊
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 4 года назад
Hahaha acha mambo yako bana hivi unaishi wapi kuwa hujui nyama ya kima? Umenifanya nicheke kweli
@hafsaabubaker5415
@hafsaabubaker5415 5 лет назад
Kwenye ofev huo mkate
@farwatskitchen13
@farwatskitchen13 5 лет назад
Unaeza tumia oven au makaa
@Munawar-zu9yo
@Munawar-zu9yo 3 года назад
Naomba u if u did he mit keki ya mayai 20 mahitaji yake yanakua VP napatikana kwa nmb0774077507
@zalkhsule2617
@zalkhsule2617 4 года назад
Mashallah
@Munawar-zu9yo
@Munawar-zu9yo 3 года назад
Naomba u if u did he mit keki ya mayai 20 mahitaji yake yanakua VP napatikana kwa nmb0774077507
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 лет назад
Mashallah
Далее
Jinsi ya kupika keki ya nyama ya kima / kusaga
6:11
Просмотров 30 тыс.
mkate wa nyama mtamu
12:33
Просмотров 16 тыс.
MEAT CAKE IN KISWAHILI
7:07
Просмотров 283 тыс.
MKATE WA MAYAI
6:43
Просмотров 14 тыс.