Assalam aleikum yakhy,Niko na tatizo na naomba kufahamishws kwa making sana,Mimi no dereva mtarajiwa wa trailer inshaAllah. Ntakuona vipi ama ntawasiliana nawe vipi? Nitakuwa na mtihani soon,naomba kabla unijuze nifahamu,wa billahitaufiq
Nilitaman pia kama ingewezekana binafsi natamani kufahamu namna ya ku drive Aina ya hizi Gari how to change gear inapokuwa in motion unarudi vipi gear?