Habari na asante kwa video zako, Mimi ni youtuber na record video za kushona,kufuma na kudarizi ila shida yangu ipo kwenye quality ya video, kwa kutumia KineMaster ili quality ya video isibadilike unafanyaje?
@@NaimaCreation kupata video yenye high quality inategemea na , ni namna gani ume rekodi hio video na umerekodi kwa kutumia nin . Lakin Unapo save video hakikisha una Save katika HD Resolution