Тёмный
No video :(

JINSI YA KUSOMA NAMBA ZA KWENYE MIFUKO YA MBOLEA NA MAANA ZAKE. 

MINJA KILIMO
Подписаться 2,5 тыс.
Просмотров 942
50% 1

Namba ZINAZOANDIKWA KWENYE MIFUKO ya mbolea zinamaana kubwa sana katika kukuwezesha kufanya maamuzi ya utumie mbolea Gani kwa hatua flani ya mimea Yako.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 3 месяца назад
Mwalimu nakuelewa sna mungu akubariki kwa kweli nahitji nijifunze zaidi mpk nikuzidi kimaarifa
@mohamedihakimu-st9tw
@mohamedihakimu-st9tw 10 дней назад
asante mwalimu wangu
@user-vr6nl2px8y
@user-vr6nl2px8y 27 дней назад
Mungu akubari nimepata mwanga kidogo niliomba kujua hatua ya kwanza badae kupanda mmea wako unatumiambolea gani mpaka hatua ya mwisho, au unazichanganya kwa pamoja ndio unatumia.
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 26 дней назад
Zipo video zinazoelezea MATUMIZI ya mbolea kuanzia hatua ya kwanza mpaka ya mwisho. Andika mbolea ya kwanza kwa nyanya
@adammaziku6521
@adammaziku6521 Месяц назад
Nataka kitabu kinachohusu matumizi sahihi ya mbolea je bei gani na nitakipaje nipo wilaya ya Nzega
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 Месяц назад
Kitabu 5000 unatumiwa kwa Whatsapp. Ukiwa tayari karibu 0678231427 Emanuel Minja
@mpenjahr
@mpenjahr 3 месяца назад
Uko poa sana ww ni zaidi ya Mwalimu, yaani hapa kuna vitu navipata sio poa
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 3 месяца назад
Karibu sana Mpenja
@adammaziku6521
@adammaziku6521 Месяц назад
Nahitaji kitabu nipe bei
@HamisBakhari
@HamisBakhari 12 дней назад
Mwalimu nahitaji kitabu
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 12 дней назад
@@HamisBakhari karibu sana changia 7000 kwenye Tigo lipa namba 22211100 MINJA KILIMO. Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 12 дней назад
@@HamisBakhari waweza tuchek pia kwa Whatsapp namba 0784013400
@MarcoKanyelele
@MarcoKanyelele 3 месяца назад
Kitabu nakipataje Mwl?
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 3 месяца назад
Kitabu unakipata kwa kuchangia 5000 kwenye 0784013400 Emanuel Minja Kisha unatumiwa kwa Whatsapp au email. Karibu
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 3 месяца назад
Mwalimu nakuelewa sna mungu akubariki kwa kweli nahitji nijifunze zaidi mpk nikuzidi kimaarifa
@emanuelminja2023
@emanuelminja2023 3 месяца назад
😂😂😂 nimefurahi kusikia hivyo Lengo zuri sana mwanafunzi wangu na nitafurahi zaidi nikiona unazidi kukua kimaarifa
Далее
MAMBO YA KUZINGATIA KWA MKULIMA MCHANGA
23:06
MATUMIZI SAHIHI YA VIUATILIFU KWENYE ZAO LA NYANYA
27:35
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,9 млн
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 412 тыс.
JIFUNZE EXCEL KUTOKEA ZIRO
42:56
Просмотров 40 тыс.
MAKOSA 6 YA KUEPUKA KATIKA KILIMO CHA NYANYA.
34:20
Просмотров 1,8 тыс.
JE! NITUMIE SUMU GANI KWENYE KITALU CHA NYANYA?
13:13
MUONGOZO WA KUTUNZA HOHO KWA WIKI TATU ZA MWANZO
18:40
Просмотров 2,4 тыс.
SIRI NZITO YAFICHUKA KUHUSU UZALISHAJI WA NYANYA
14:06
Просмотров 2,1 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,9 млн