Hili Neno nimeona Leo but yote yameninwa niyangu 😢yote nimeyapitia bila kujua nifanye Nini God Sasa, I need you now Jehovah shuka unokoe nahaya nayo pitia ifike mwisho 🙏🙏🙏
Nimekua muumini wa mafundisho yako kupitia "u tube" be blessed Pastor mafundisho yako yanafungua Sana uwelews wangu tangu nianze fuatilia. Nipo Dsm Kigamboni.
Amina mutumishi wa mungu ubarikiwe sana kwaimani napokea mafundisho yako yakakae ndani yangu makuniongoza sawa sawana mafundisho yako aminaa uwe na hekima atakulipa mungu unatufungua wengi nimepitia vingi ila wewe uwe mwalimu wa wana wa mungu waokoe nami moja wapo love is 🙌🙌👏