Katika hii video utajifunza jinsi ya kutengeneza beat ya anjella kutoka konde gang akiwa ameshirikiana
na Harmonize kwenye wimbo unao itwa kama ulio tengenezwa na Abbah process katika studio za Abbah Music
pia utajifunza mbinu mbali mbali zinazo tumika Kutengeneza Beat za bongo flava pamoja na
jinsi ya kudesign sound ili kuweza kupata sound inayo endana na beat ulio itengeneza
WhatsApp group: chat.whatsapp....
facebook: / aroncademy-10225707838...
Instagram: / aroncademy
Twitter: / aronbeatz
#angella #harmonize #angellaftharmonize
12 сен 2024