Nakukubali habibty manake unatupa njiarahisi wengine wanatuchanganya kesho in shaa allah nitafanya Shukran habibty Allah akusimamie na kazi zako Amin yarab Alamin 🤲🤲
Hi, can someone please share AUTHENTIC Tanzanian vegetable sambusa with raw onion and no garlic or coriander powder ( original recipe only had green chilli and ginger) but cinnamon and clove powder? I have had them with a tiny bit of sultana and lemon juice only! No red chilli powder
Ok kama za biyashara unaweza toa samosas ata 50 kwa nyama 1Kg ukimix na vitunguu kiyasi lakini usiweke vingi saana kuliko nyama ukiweka vingi utaharibu biyashara yako zitakuwa samosas za vitunguu nasio nyama ok karibuu😊🙏
Samahani habibty naona Sambusa zina mafuta ndani. Napika Sambusa kama hizo nikisha kutoa kwenye karai Huwa naweka kwenye chujio Kwa kuisimamisha Kwa kutumia Moja ya ncha zake tatu. So mafuta yote ya ndani yanatoka kupitia hio tundu
Hapana dear bila samahani huwo ni uwono wako tu tu mimi sambusa zangu haziwi wazi ninipo funga huwa nahakikisha tundu zote 3 zimeziba kwa sababu ya kuingia mafuta na kuchafuka nje sambusa ASANTE LAKINI KWA USHAURI MPENZI🙏🏼 unasimamisha sambusa 200 sote ncha 1 zigidike mafuta mpenzi?