Тёмный
No video :(

JINSI YA KUTENGENEZA UNGA WA LISHE by mwanga1tv 12/10/2022 

MWANGA 1 TV
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Unga huu ni mzuri na hutengenezwa kwa kutumia nafaka kikubwa ni vipimo sahii

Опубликовано:

 

19 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 22   
@anitaandrea567
@anitaandrea567 9 месяцев назад
Nafaka kwa ajili Ulezi kilo moja Mahindi nusu kilo Mchele nusu kilo Mtama nusu kilo Karanga( zilizokaangwa) nusu kilo Ngano Soya ( zilizokaangwa)
@AminaSalum-ft5us
@AminaSalum-ft5us Месяц назад
Apo ulezi si umezidi watoto wengi uwa wanaalisha
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Месяц назад
Ukosawa akikisha unasafisha vizuri na kutoa uchafu ote pia uoshe baada ya kukauka anza usindikaji wako sasa
@anithaapolinary6391
@anithaapolinary6391 Год назад
Kwa hii elimu mtu hawezi kufaulu🚶
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Mbona nirahisi nawengi mpaka Sasa wanatengeneza Kama utakuwa hujaelewa andika swali lako nami nitakusaidia uweze kuelewa au niandike kwa WhatsApp namba yangu nami nitakusaidia ili uweze kujua
@salomehaonga3455
@salomehaonga3455 6 месяцев назад
Mm swali langu ule wa kuuza Ili ukae muda mrefu naongeza nini ukae mwezi au miezi
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg Год назад
👍👍🙏
@jescamudogo338
@jescamudogo338 Год назад
Mbegu za maboga je azifai?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Unaweza kuweka lakini sio lazima Kwa maana virutubisho vyote mhimu vimo
@shamimuabdallah8801
@shamimuabdallah8801 Год назад
Mbona hujasema soya kiasi gani
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Tuwasiliane kwa WhatsApp 0768-852151
@priscatarimo6034
@priscatarimo6034 Год назад
Mhhhhh mchele tenaaaa,???? Hii lishe badoooo sio
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Tazama upya kwa makini
@millicentwesonga7006
@millicentwesonga7006 Год назад
Huuo unga unatumika je? Kwa uji ama?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Kwa uji
@millicentwesonga7006
@millicentwesonga7006 Год назад
Asante sana. Ni kwa watoto tu ama kwa Kila mtu?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Kwa watu wote na Malika yote
@angelsandemu2464
@angelsandemu2464 Год назад
Bila kuziosha?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Nitumie ujumbe WhatsApp 0768852151 kwa maelekezo zaidi
@hajrakifile797
@hajrakifile797 10 месяцев назад
Mchele + mtama+!ulezi+ makindi mbona vyote ni kundi moja tu
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 10 месяцев назад
Nafaka hizo zinatofautiana kwa asilimia kubwa
Далее
Unga Lishe Mzuri saana
3:55
Просмотров 23 тыс.
A SMART GADGET FOR CLUMSIES🤓 #shorts
0:21
Просмотров 1,7 млн
VYAKULA ANAVYOTAKIWA KULA MAMA ANAE NYONYESHA
3:51
Просмотров 2,1 тыс.
3 BABY FOOD RECIPES FROM 6 MONTHS AND ABOVE
8:03
Просмотров 483 тыс.
#KUMEKUCHAKISHINDO, Utengenezaji unga wa lishe.
21:35
JINSI YA KUANDAA UNGA WA LISHE
6:58
Просмотров 40 тыс.