Katika video hi utajifunza jinsi ya Kuunganisha Cubase 5 na Sound card isiyokuwa na Drivers kama vile Q24 na nyingine nyingi Usisahau ku subscribe katika channel hii
Naomba unifundishe jinsi ya kuweka effect zilie vzr kwenye vocals Zilizo rekodiwa na cubase 5 yaani vocals ziwe zinalia kama nyimbo za akina alikiba na wengine wengi kaka Mi nakukubali sana nadhani utakua umenipa utaalamu sana na sitakusahau kwa chochote kaka