Asnte Mungu kwa Neema yako 🎉🎉Neno lako nitaa ya miguu yangu🙏🔥Baba usitutie majaribuni ,utuokoe na yule muovu .............shetani walio inuka kwenye Maisha yangu Familia yangu uchumi,ujenzi, masomo ya watoto wangu ktk jina la Yesu hawana mamlaka ya kushika vyangu vinalindwa na DAMU YA YESU 🍷🇦🇪🙌