Hallelujah Hallelujah, mungu naomba unipe nehema na kibali ili niweze kupata ngufu ya kuomba kila siku,kwa ajili ya kutuza roho mtakatifu anaye ishi ndani yangu
Eeeh mungu wangu nisaidiye kwenye maisha yangu,na hitaji rohoo wako mtakatifu akapate kuwa ndani yangu.mtumishi ubarikiwe sana kwa somo hili nzuri.may God bless you 🙏🙏🙏.
Kusali ni tendo pana linalojumuisha kumtukuza na kumshukuru Mungu, wakati kuomba ni kitendo maalum cha kuomba msaada au baraka kutoka kwa Mungu. Kusali kunaweza kujumuisha kuomba, lakini sio lazima kila sala iwe ombi.