Тёмный

Jinsi ya kuweka Jingo kwenye virtual Dj 

NYAKU TV
Подписаться 10 тыс.
Просмотров 1,4 тыс.
50% 1

Video hii itakupa uwezo wa kuweza kuweka jingo kwenye virtual dj na pia maarifa ya jinsi ya kuweza kutofautisha kati ya virtual dj 8 na virtual dj 7 katika ufanyaji kazi hususani katika eneo la Kucheza na kuweka Jingo.
Kwa mahitaji ya jingo unaweza kuwasilaina nasi.
0756 72 31 72

Хобби

Опубликовано:

 

5 сен 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@emmanuelmgimba584
@emmanuelmgimba584 9 месяцев назад
Kazi pw saana na ni somo zuri
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Shukrani sana ndugu! Tupo pamoja
@siagwetta
@siagwetta 9 месяцев назад
Up vizur sana kaka
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Karibu sana hapa. Shukrani kwa kutazama.
@didace28kente56
@didace28kente56 9 месяцев назад
Dah! Vipind vyako vizur san
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Nashukuru sana Ndugu. Asante kwa kutazama.
@chrysentlaizer9642
@chrysentlaizer9642 9 месяцев назад
@user-nj4nb3ub9u
@user-nj4nb3ub9u 8 месяцев назад
Asante sanaa kakaaa nmepokeaa jingo na kwl zimependwa na wa2 kazi nzr kakaa
@NYAKUTV
@NYAKUTV 7 месяцев назад
Shukrani kwa mrejesho karibu tena Boss.
@leviswilikia2913
@leviswilikia2913 9 месяцев назад
Safi sana kazi nzuri
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Shukrani sana Ndugu tupo pamoja.
@chrysentlaizer9642
@chrysentlaizer9642 9 месяцев назад
Nimekuelewa brother
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Tupo pamoja Ndugu. Tunashukuru kwa kutazama. 🎉
@ELIASLUKAWE
@ELIASLUKAWE 6 месяцев назад
Nashukuru kaka jingo yangu ipo vizur sana
@NYAKUTV
@NYAKUTV 6 месяцев назад
Asante kwa mrejesho kaka .karibu tena
@ELIASLUKAWE
@ELIASLUKAWE 5 месяцев назад
Sawa kaka nashukuru sana kaka maana ipo vizur sana soon nitakupa job nyingne
@NasryJuma-vn2bo
@NasryJuma-vn2bo 2 месяца назад
Nitapataje hizo jingle
@SabihMacomputer
@SabihMacomputer 9 месяцев назад
Ii kwa upande wangu imeenda
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Shukrani sana Boss . Asante kwa kutazama.
@Djroja_mo
@Djroja_mo 10 месяцев назад
Naitaji virtual dj 2020 ya mac
@NYAKUTV
@NYAKUTV 10 месяцев назад
Sawa boss
@emmanuelmgimba584
@emmanuelmgimba584 9 месяцев назад
Pia na keyboard mappings,kutengeneza 3D logo navyo ungeandaa somo lake ingependeza zaidi.
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
Tuko pamoja Boss. Shukrani kwa kutazama
@edwarddickson9500
@edwarddickson9500 5 месяцев назад
KAKA mambo vp naitaji jingo na mm unitegenezee kaka
@NYAKUTV
@NYAKUTV 5 месяцев назад
Karibu edward tuwasiliane 0756 72 31 72
@chrysentlaizer9642
@chrysentlaizer9642 9 месяцев назад
@NYAKUTV
@NYAKUTV 9 месяцев назад
😁💥💥💥
Далее
Стас о своих клиниках
00:19
Просмотров 89 тыс.
JINSI YA KUWA DJ BORA
6:53
Просмотров 10 тыс.
Tumia batani kuhamisha nyimbo visho dj 8! Tazama hapa
5:59
Jinsi ya kurecord vocal kwa kutumia fl studio
7:00
Просмотров 4,1 тыс.
телега - hahalivars
0:12
Просмотров 2,2 млн