Тёмный

Jiongeze 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 337 тыс.
50% 1

Kitu muhimu sana ni kujiongeza lakini angalia mbele usivuke mstari.

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 348   
@edozumba5339
@edozumba5339 6 лет назад
sijawai kuwa top ten darasani,hata huku youtube napo nakosa top ten kwenye kucomment..mko vizuri machaliii
@molovedaplatnumz9009
@molovedaplatnumz9009 6 лет назад
Edo Zumba ahhahhaha
@prizogenocki2091
@prizogenocki2091 6 лет назад
Sijui nimechelewa sanaaa
@johnchibanhila1850
@johnchibanhila1850 6 лет назад
Eti nimeambiwa niiguse tu usiku,like hapa kama tunampenda JOTI
@TMaxmwanajeshi
@TMaxmwanajeshi 5 лет назад
Joti nomaw💪
@annkabbz8544
@annkabbz8544 6 лет назад
Hooray hooray!!! Number one..today Love you joti Dada kiboga Vipi
@samtz1399
@samtz1399 6 лет назад
Show love kam zote hivi kwa joti kuwa hakuna wakushindan nae... But Jesus Christ is the king 🤴.. Like twende sawa
@shabanikulindima2584
@shabanikulindima2584 5 лет назад
Lavalava guns
@shabanikulindima2584
@shabanikulindima2584 5 лет назад
Mandy aibu
@ceowamairura7507
@ceowamairura7507 6 лет назад
Joti am a Kenyan but I really like your comic, you’re number one guy ever in Tanzania
@raydiesel424
@raydiesel424 6 лет назад
Leo nami nmewahi...nani mwingine anaangalia huku anasoma comments like tujuane.
@elizabethpatrick7357
@elizabethpatrick7357 6 лет назад
Raymond Msanga nipo ray
@maryammaram2612
@maryammaram2612 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂 nipoo nazisoma tu
@samsan95tvlaizer59
@samsan95tvlaizer59 6 лет назад
Raymond Msanga kama Mimi vile
@petrombilinyi9063
@petrombilinyi9063 6 лет назад
Pamoja
@jescaasante8185
@jescaasante8185 6 лет назад
😀😀😀😀😂😂😂😂
@robertmuturi8792
@robertmuturi8792 6 лет назад
Hehehe watching frm 254 Wakanda forever,Joti forever
@mathayowilson1525
@mathayowilson1525 3 года назад
KIJICHO hichoooo baaabuuuuuuuuuuuuuuuu...jot haya Mzee wa sanaa
@seifmkali2381
@seifmkali2381 6 лет назад
Joti you are talented ......am on my way to hospital for ribs repair hahahahaha "malaika wanacheza kiduku do! Joti mungu anakuona"
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 лет назад
Tabia ya kusoma comment uku naangalia sijui nitaacha lini 😂😂😂
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 6 лет назад
😂😂😂 thought was the only one
@yakobosengasu8073
@yakobosengasu8073 6 лет назад
Hahahaahahaa
@renildevenerand8256
@renildevenerand8256 6 лет назад
Asia Zuberi hata mimi😀😀😀
@morewatch5253
@morewatch5253 6 лет назад
Nakuona kila siku hahaha
@jeniphermponguliana9392
@jeniphermponguliana9392 6 лет назад
hahahaha sijui tuta acha lini
@hekimashola9079
@hekimashola9079 6 лет назад
Eti nmeona malaika wana acheza viduku daaaaa!nomaaa kweliii!
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 6 лет назад
Tuliopo nje ya Africa kuamka tu na kukuta kaisha iweka RU-vid na tumewahiwa na wabongo embu weka like hapa twende sambamba nao
@ziakaitala2221
@ziakaitala2221 5 лет назад
Jamaangu upo nje ya nyumba au wap
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 года назад
Joti sacha ujinga utakuja kufa kweli.Safi sanaaaa
@laboayoub9862
@laboayoub9862 6 лет назад
wamia na themanini na tano Km unamkubali joti km mm gonga like
@zawadizuberi9950
@zawadizuberi9950 6 лет назад
tabia ya watanzania
@laboayoub9862
@laboayoub9862 6 лет назад
nikweli zawadi
@sumathedony8245
@sumathedony8245 6 лет назад
uyu ndo best comedian in tz nani anabisha????
@Barnezscents
@Barnezscents 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂 wabongo mmenishinda leo ndo nimeshuhudia mtu anaweka vi emoj vya kucheka wakat hajaangalia video hata dakika moja.... mamaeeee
@hamisially3296
@hamisially3296 6 лет назад
Athuman Ladislaus
@salmadonne6327
@salmadonne6327 6 лет назад
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂😂
@kathbetlazaro1542
@kathbetlazaro1542 6 лет назад
Jiongeze nomaaa ndo dawa mjomba joti
@SKILLS360TV
@SKILLS360TV 6 лет назад
Eti kufa wewe duuuuh you are so tarented
@ashnaomi2385
@ashnaomi2385 6 лет назад
hahaaa joti nilijua utalala chini uchomolewe mshiko. nakukubali sana
@erastoernest5334
@erastoernest5334 5 лет назад
Iyo salamu nimeipenda
@vediantazvedastus6107
@vediantazvedastus6107 6 лет назад
walahi joti sir GOD anakuzoom
@henryjoseph5703
@henryjoseph5703 6 лет назад
😂😂😂 hahaaaaa we joti akili zako zinakutosha mwenyeww eti bibi yenu yup kwenye siku zake 😂😂😂
@malkiabintmfalme8682
@malkiabintmfalme8682 6 лет назад
😂😂😂😂joti fala ati nani kafa. Nimeona kabisa malaika wakicheza kiduku
@mathewgasparrimoy4437
@mathewgasparrimoy4437 6 лет назад
Hii tabia yakuangalia huk nasoma comment cjui nitaacha Lin Nakupenda jot
@rajabusaid2692
@rajabusaid2692 6 лет назад
We joti malaika wanacheza viduku😁😁😁😁😀😀
@dabradabra176
@dabradabra176 4 года назад
Nakupenda buree Joti😂😂😂
@chrissjoel7752
@chrissjoel7752 3 года назад
Bibi yenu yuko kwenye siku zake Jana nimeambiwa niiguse tu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@amani2555
@amani2555 6 лет назад
*Wa 512 ku views 👍 👍 😂na wa 74 kulike gonga like hapa 🔥 kama unamkubali Joti*
@ichukagaum9732
@ichukagaum9732 6 лет назад
Tabia yangu huku na watching huku na soma comments cjui taacha lini 😃😃😃
@mndigaboy2534
@mndigaboy2534 6 лет назад
ichuka gaum Duh upo Kama meme 😂
@credokashinga1918
@credokashinga1918 6 лет назад
😁😁😁😁
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 лет назад
ichuka gaum mambo
@kitatakitata8678
@kitatakitata8678 6 лет назад
ichuka gaum Nitafute Instagram nakupenda xna no 0783_525627
@saudahamad7481
@saudahamad7481 3 года назад
Eti nmeona malaika wanacheza viduku😆😆😆😆😆😆😆😆
@dancehottzdancehottz2465
@dancehottzdancehottz2465 4 года назад
nimeona malaika wanachenza viduku .joti 😂😆😄
@salimsaid2187
@salimsaid2187 5 лет назад
mzee anachomoka kama sun lg
@powertz8913
@powertz8913 6 лет назад
hahahhhhh,,,,, eti nmemuon malaika wanchez viduku,,,, Huku London maish tunayaona mepes KWA comedy za jotu ,,,, kam wew tim London gong like tujuane
@jamesmashauri8315
@jamesmashauri8315 6 лет назад
😀😀nmeona malaika wanacheza viduku
@hassandaud120
@hassandaud120 5 лет назад
jot ww noma et ww machokuona npe ngawe mwenyewe
@marthaedward6411
@marthaedward6411 6 лет назад
Nakukubali sana joti
@elizabethpili6257
@elizabethpili6257 6 лет назад
Joti Mungu akuone
@josephatwesonga4899
@josephatwesonga4899 5 лет назад
Et nmeona malaika wanacheza viduku.. noma
@masasidukalakofiakofia8138
@masasidukalakofiakofia8138 6 лет назад
We Mzee unalana kahi ya mungu hahahahaha jot Fundi
@issamakoti5159
@issamakoti5159 6 лет назад
Mamb ni fire
@elijahm.muthini
@elijahm.muthini 6 лет назад
Joti machachari qweli, wapi zake jamani
@amaniramadhani3867
@amaniramadhani3867 6 лет назад
Aya bhana kweli mjini shule
@ernestbaraka9454
@ernestbaraka9454 5 лет назад
Yakwangu hyoo 😂😂alikuwa kwny tarh zake bibi yenu
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 6 лет назад
😂😂😂😂 aaanh aaanh unataka utaki???? joti bn ndo kufa gan uko sasa..👌
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 6 лет назад
😀😁😀kama hutaki kufa wewe Hahahaha joti we ni shida
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 6 лет назад
We jot kitambi hichooo haha haha
@johnsamweltz6597
@johnsamweltz6597 6 лет назад
background music uko juu mno mpaka ssikii vizuri...
@boniface3710
@boniface3710 4 года назад
Me ni mkenya tena mkikuyu halisi ...Joti all the way
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
Maiti itakuja juu xaxa hvi hiyo ixhaona hela zote... xopa uxhaacha tafran baba
@CoachHafidh
@CoachHafidh 2 года назад
Malaika nimewaona kabisa wanacheza viduku🥲😂😂😂😂
@positivekheri7753
@positivekheri7753 6 лет назад
Umeua acha jeuri,hahahahaaaaaaah,nizimie tena vipi!!!!
@elizabethnyagongo392
@elizabethnyagongo392 6 лет назад
Namkubali sana joti
@mikapeter1019
@mikapeter1019 6 лет назад
Nawakilisha dar, wanangu wa dar gonga like twende Sawa😂😂 #wakanda_forever
@wizzydidasi5655
@wizzydidasi5655 6 лет назад
Hahaaaaaaa joti bana eti umeona malaika
@gaspopaulo9883
@gaspopaulo9883 4 года назад
Hahahhaha joti et ameona malaika wanacheza viduku
@Wallo-q1x
@Wallo-q1x 6 лет назад
Ati nimeona malaika wanacheza viduku Joti noma
@judesammy9643
@judesammy9643 5 лет назад
Can’t stop watching 😂😂😂😂 love sana Joti
@jamilazuberi8063
@jamilazuberi8063 6 лет назад
hahahaha Ana laana si kidogo😅
@stephnjesh563
@stephnjesh563 5 лет назад
Malaika kacheza kiduku😂😅
@jssaa4733
@jssaa4733 6 лет назад
Acha usenge😀😀😀😀😀😀😀
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
Ilkua najiuliza kwnini namkubali kipande vbybaya lkn jibu nnalo xaxa....
@cultureboy4975
@cultureboy4975 5 лет назад
Nkbr by culture boy
@rashidkassim7836
@rashidkassim7836 6 лет назад
Mzee noma
@shabansalim9454
@shabansalim9454 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 joti nomaaaa sanaaaaa big up bro
@Mariam-ez4qw
@Mariam-ez4qw 6 лет назад
Duuuuh nimekuwa wa mia moja thelathin na tisa😂😂😂😂😂😂
@josephm4233
@josephm4233 6 лет назад
Sauti kubwa background song
@Ab113tech
@Ab113tech 6 лет назад
Wakanda Wakanda Forever 😂
@bahatialphonce5346
@bahatialphonce5346 2 года назад
Gusa tuuuuuu😀😀😀
@vediantazvedastus6107
@vediantazvedastus6107 6 лет назад
teh teh et mzee anaambiwa zimia
@privashayo4086
@privashayo4086 6 лет назад
hahahahahah😂😂 pesa noma
@brownbyser6877
@brownbyser6877 6 лет назад
Gonga like kama joti ndo king wa comedy bongo
@sultanhamis7355
@sultanhamis7355 4 года назад
Nimemuona malaika anacheza viduku, joti hatar
@solomonitv7808
@solomonitv7808 6 лет назад
Kama unamkubari Jiongeze
@johannesmj9595
@johannesmj9595 6 лет назад
kipande umeiva mzee
@dullasheki8514
@dullasheki8514 6 лет назад
Babu umetisha
@mackd6538
@mackd6538 4 года назад
Daaah joti chizi
@mirajimwango5763
@mirajimwango5763 6 лет назад
naanza kuanagalia tu nacheka asa hapo hiko kiguu kuweka juu kama mbwa ndo nini hahahahahahahah
@thesoundtvonline
@thesoundtvonline 2 года назад
Joti jaman
@davidmbogoma2307
@davidmbogoma2307 6 лет назад
Eti nimemuona malaika anacheza viduku haa 😀😀😀
@jamessebastian8024
@jamessebastian8024 6 лет назад
Et mzee ana laana
@luqmaankimoloni2375
@luqmaankimoloni2375 5 лет назад
Wewe unang'atwa nini na majini. Et we macho kuona. Kwaweli joti utabaki kua juu nakukubali kuliko maelezo
@sedetkamwendo9574
@sedetkamwendo9574 6 лет назад
Hii nzr
@lutenluambano8540
@lutenluambano8540 6 лет назад
Yakwangu iyo yakwangu iyo duuuuuu, hatali
@mozanamata4628
@mozanamata4628 2 года назад
Nimecheka kwa sauti hii joti😂😂😂😂😂😂😂😂
@fidesbenard3243
@fidesbenard3243 6 лет назад
Ata Mimi nasomaga uku naangalia
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 года назад
Yaani joti ni msenge eti nimeambiwa niiguse tu nimechomeshwa mahindi usiku
@gegomnete4199
@gegomnete4199 6 лет назад
_Joti Fundi sanaaa Aiseee_
@idrisabrangi3370
@idrisabrangi3370 4 года назад
Joti mbwa kwel huyu nimekasirishwa namkewang usiku huu yeye ananichkeshaa
@aggreykihara1511
@aggreykihara1511 Год назад
Eti we zimia mambo yameharibika
@richardhaule3744
@richardhaule3744 6 лет назад
Wakwanza mimi leo 😊😊😊
@shedrightfrank8499
@shedrightfrank8499 6 лет назад
mzee mtoto nomaa joti
@ashminaabdullah5626
@ashminaabdullah5626 6 лет назад
mmmh unalaana we mzee hahahaaa
@ipyanamsomba8026
@ipyanamsomba8026 6 лет назад
Kipande anamwambia babu zimia, zimia babu😂😂😂
@hamadnyambwa2900
@hamadnyambwa2900 6 лет назад
😂😂😂😂😂 asa joti umekufa uku unapiga chabo duh
@chrizostomgodfrey5485
@chrizostomgodfrey5485 6 лет назад
hatari 2p
@zawadimdete4870
@zawadimdete4870 3 года назад
Kama umesikia malaika wanacheza kiduku like
@khatibumbaga9543
@khatibumbaga9543 4 года назад
Safii joti
@peterkoroso3305
@peterkoroso3305 6 лет назад
Wakanda forever 😂😂😂😂😂😂😂
@wazirisukari5178
@wazirisukari5178 4 года назад
Hahahaaa eti nimeambiwa niiguse tu
@mustaphahassan8407
@mustaphahassan8407 3 года назад
ati unan,gwatwana manyigu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jahkeyrenson4400
@jahkeyrenson4400 6 лет назад
Haki ya mamangu SOPA unanimaliza weuwe jomon sijui njiwa yupi nimtume akuletee salam 😂😂
Далее
Nongwa za Mlinzi
9:38
Просмотров 261 тыс.
Mitumba kama yote
11:52
Просмотров 359 тыс.
Cole Palmer Revenge vs Man City 🥶
00:20
Просмотров 1,1 млн
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 473 тыс.
PISI MBUZI
9:00
Просмотров 1 млн
ONGEA NA BODA BODA DAH (Ndaro & Yombo)
9:39
Просмотров 311 тыс.
MJUKUU WANGU
7:38
Просмотров 113 тыс.
CHAWA
10:17
Просмотров 484 тыс.
Waraka wa Baba
9:08
Просмотров 1,4 млн