Pumzi ya Uhai wako Yesu ipite kwa mataifa yote,pumzi ya uzima wako iponye Tanzania na watu wake. Pumzi ya Uhai wako ni ukombozi wetu. Harufu yako ienee Tanzania,mkoa kwa mkoa,nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa. Ubarikiwe Mtumishi John Lissu.
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU....... MUNGU ni Yule Yule Jana hata Leo ,MILELE habadiliki ❤the song still powerfully uwepo wa MUNGU UNASHUKA kila nikisikiliza....🔥🔥
Mtumishi wa mungu John Lisu mungu akubariki kwa kazi njema ya kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji. Roho mtakatifu azidi kukuinua . Wimbo huu ni mpya kila siku. Ubarikiwe
AMEN. I LIKE THIS WORSHIP SONG TOGETHER WITH "YU HAI JEHOVAH"; I LIKE JOHN LISU WITH HIS GROUP BECAUSE THEY "GIVE CHEERFULLY" AND GOD LOVES A CHEERFUL GIVER [2 COR. 9:7]; GREETINGS FROM KIGALI RWANDA. WE LOVE TANZANIA.
Asante Mungu kwakunibariki ,asante kwakuachilia fadhila zako nakuachilia rehema na neema zako katika kila eneo la maisha yangu wewe tu ndio ngome na kimbilio langu nakutumainia nakukutegemea wewe tu ,asante Mungu maana hujawahi kuniacha wala kunipungukia hata pale ambapo sikustahili ulinishika mkono na kugusa maisha yangu nikurudishie nini Bwana sifa na utukufu ni vyako wewe maana unastahali Mungu wangu umetukuka Nakupenda Mungu wangu sitaacha kuushuhudia ukuu wako ndani ya maisha yangu.