@@mkaapwekekariakoo6417 Kuchekesha ni fan ambayo mm na ww hatuna ila ambao wanayo ndio wamefika huko Cheka tu, hivyo bs mm siwz kufik hpo coz sio mchezo
@@DjmubaTechServices Hakika... Sema mwanzo alikubalika japo kwa Sasa inafaa ajipange upya Joli Master Ni Kama Erick Omondi. Watu kila Mara wanaibuka na kuwa na ubunifu, Sauti, nyimbo fulani wanaimba, kuwa na kollabo ya comedians zaidi yake, kukaa kimya ili watu wawe na shauku naye. Kama anavofanya Midevu. Anaweza akakaa mwezi mzima wa kuandika na kufikiria Nini Cha Kutoa, akija kweli unasikia Ile kauli ya the king is back inaendana na anayeisema. Naamini anapitia comment zetu na Hii ndiyo support yetu kubwa kwao, kuwapa Ni kipi tunafikiria na kipi tungependa kupokea. Asante
@@mkaapwekekariakoo6417 huyu Jol master cheka hata jokes zake za nyuma zilivyo na angalia sasa hivi, utaona kabisa dogo anajiona kaisha fika yaan now anatumia uzoefu tu. Na hili ndilo ttzo sasa yaan bora angezidi kuji brand kwa sasa zaid ili afike mbali japo hata aende Churchill show anaona kuwa Cheka tu kaisha fika...Kuna comedians wakubwa sana haps Africa lkn bado kasi yao ni ile ile na wanzaidi kuwaka 🔥 na wana mafanikio hatari sana, sasa yy alivyoanza kuingiza vihela tu kaanza madharau na anashindwa kuelewa kuwa sisi ndio tumemfikisha hapo