wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩
Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA
Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕
NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMESHAZOEA.......... NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO YULE..... Nakukubali sana sister angu.
kwa Mara ya kwanza kabisa nmekufata you tube kuchek hii ngoma maana nmependa melody yake na jinsi ulivoimba actually unastahil support yetu Dada jolie kaz nzur umefanya. big up.
Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana
Hongera sana Dada, Kazi nzuri..Ombi langu ni lile lile USILEWE USTAA MAVI MAVI, you are just one of our very own future female artist tunayekutegemea dear.
Km mtu humtaki bora uondoke fuata huyo unayempenda kuliko kukaa na kumuumiza mtu innocent ,Jolie big up Dadangu Kuna watu wenye tabia km hyo yamekaa tu they don't care about others feelings ,
Japhet Elius dada upo vizuri Sana hii nyimbo hinaniumiza Sana yametokea kwangu nikisikia naipenda Sana na nikweli nimeandika taraka Kwa vidole vyangu tusizinguane naangaria Maisha Mengine Kwa sasa nakukubali sana
Ucje ukaja kuringa wala kupata kichwa kua na heshima na kila mtu unajua sana mziki big up nakupenda sana unajua mpaka unakeraaaaaaaaaah cjawah ichoka hiii
Huu mziki ni mzuri sana Jolie, jitahidi usome comments za watu hapa, wana ushauri mzuri, utakufikisha mbali. Kamatia hapo hapo aisee. Angalau sasa nimepata msanii Wa kike Wa kumkubali, maana kwa mda mrefu sana nimekuwa na Wa kiume
i wish nothing but alwys best for you...!! pure melody... full mashmash kama umenitungia mie aka kajimbo...!! sema unaanza vizuri usituvuruge uko mbele...!! love you so much
@Jolie official keep up the good job ,it's a decent and a classy video that u didn't have to go naked for pple to appreciate u.....Lots of love from kenya💞💞